Nyamwage JF-Expert Member Oct 16, 2020 682 1,677 Mar 8, 2024 #1 Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
Kinachonipa wasiwasi hapa naona wameorodhesha windows za kizamani tu nawakati dell yangu iko na windows 10
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,359 41,734 Mar 9, 2024 #2 Windows zina backward compability, itafanya. Unless iwe na complications nyengine.
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,956 154,952 Mar 9, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw