Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,385
- 7,217
Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness utakuwepo kweli?