Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 489
Sijui ila kwa akili zangu naweza kusema kuwa kama sekta muhimu na mhimili wa maendeleo ya Tanzania TANESCO kushindwa kufikisha malengo ya wananchi ya upatikanaji wa umeme wa uhakika, je, sekta nyingine zina hali gani?
Binafsi akili yangu inanituma kusema Rais Samia ameshindwa kwani TANESCO ni mfano wa shirika ambalo linasumbua sana ustawi wa maendelo ila naweza kusema nina asilimia 100 kuwa mashirika mengine pia ni mabovu kuliko TANESCO.
Pia soma: Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu
Hekima na Busara ni pale itakapofika mahala na kusema hii sio level yangu siwezi, si vyema kuajiri jopo la machawa kusifiwa tu kutwa kucha ili hali hilo la kusifiwa hatulioni.