heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,517
- 10,230
Mi sijaanza leo wala jana najuwa upside na ninatrade sana acc ndogo ,strategy imebase ktk sclaping mi sihold trade setup zangu ni ktk demand and supply 10-15pips am out hapo kwa hapo sina acc moja nina acc nyingi kwaiyo hata niloose naback up , sclaping yangu ipo very simple, ukitaka kujuwa cheki youtube AHMED ,ndo ntumia style yakeKwamba $500. Baada ya Miezi sita unakuwa na $5000? Aha ha haa
Nikuulize swali unaongea nadharia au Una trade real Account.? Na account yako ina bei Gani mpaka sasa?
Mind you strategy nyingi zina profit margin ya 45% hapo umeijtahifi Sana.
Kwenye Forex Hakuna daily profit utakuwa unadaganya watu,
Safari yangu ya forex sijawahi kuona set up kila siku, na kama Una trade real Account utakubaliana nami always win trades are small compared to losing trade.
Kama una strategy Hata ya Ku double dólar 500 Kwa miezi 2 naiomba Hapá kila mtu aone Tafadhali nami nitumie utakuwa unenisaidia sana
Kinacholeta Faida kwenye Forex ni R:R, labda kama tunaongea hapá kufurahisha jukwaa na kuvutia watu..
Nakuhakikishia Forex ni Biashara hatari na ngumu mno ukiwa na Tamaa pamoja na papara.
Kama dola 500, baada ya Miezi 6 unakuwa na dolar 5000 Kila mtu Angekuwa tajiri.
Maanake hiyo dola 5000 baada ya Miezi 6 mingine unakuwa Hata na dolar 60000, baada ya mwaka dolar 240,000. Achana na nadharia za kilimo cha matikiti boss.