Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,601
- 729,482
- Thread starter
- #201
HapanaKwahiyo Adam alikuwa muhindi au mzungu au mwarabu au mchina ?
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaKwahiyo Adam alikuwa muhindi au mzungu au mwarabu au mchina ?
Kama tuko kwenye surveillance yake laana ya asili inatokea WAP?alinunya kila kabila kwa damu yake.Asante kwa mafunuo ila la ulinzi si kweli kuna mahali nimelijibu kule, tuna 24 surveillance ya Mwenyezi Mungu tunaishi kwenye cobweb yake....mengine yote yanayotupata ni ile laana ya asili
Kama tuko kwenye surveillance yake laana ya asili inatokea WAP?alinunya kila kabila kwa damu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani pia ni kosa la kiistilahi tu kusema FUVU LA BINADAMU WA KWANZA, haimaanishi mtu wa kwanza rather mtu wa kale, mtu wa kwanza bado anabaki kuwa Adam wa Mashariki ya Kati.............huenda bahati mbaya tu fuvu lake halaikupatikana na lililopakana ni la huku Arusha..........tunaongeza chumvi na KUJIONGEZA KAMA AFRIKAAmbaye ni Adam? Lilith? Eva? Au huyu wa Olduvai gorge? Je nafasi ya Babylon na Eden nk nk zinakaa wapi kwenye hili? Je Unazungumzia kwa muktadha wa historic world au pre-historic ?
Alikuwaje sasa ?
Ambaye ni Adam? Lilith? Eva? Au huyu wa Olduvai gorge? Je nafasi ya Babylon na Eden nk nk zinakaa wapi kwenye hili? Je Unazungumzia kwa muktadha wa historic world au pre-historic ?
Ni kweli kuwa fuvu lenye umri mkubwa zaidi limepatikana Tanzania na huko Ethiopia.Hapa Tanzania inasemekana eneo hilo la Oldpai lilikuwa na ziwa ambalo hili ziwa lilikauka baada ya kikauka ndio hii mifupa ikapatikana hapo.Sio mifupa ya Binadamu pekee hata ya wanyama hadi leo kazi ya utafiti inaendelea!
Sasa kama tukichukua Kibibilia kuwa kizazi cha mwisho ni kile cha Nuhu kwa kuwa imeandikwa kuwa mvua ilinyeesha dunia nzima pengine baada ya mvua hiyo ndio mifupa ilipatikana hapo!
Jamii ya wazungu hasa nchi za Mediteranian Italia,Spain,Ureno na Ufaransa hizi ni Race mpya kabisa ambazo ni mchanganyiko wa Mtu Mweusi na Mwarabu!
Swala la Rangi limekaa zaidi kutokana na hali ya Hewa binadamu na hata wanyama huwa na asili ya kubadilika ili kukabiliana na changamoto fulani
Kwa maana ya Ustaarabu kuna ushahidi mkubwa sana mfano chuo kikuu cha kwanza ni huko Mali,Kalenda ni imeanzia Misri,namba ni Ugiriki na Misiri.Yale Mapiramid hakuna mwandisi wa majengo mwenye kuelewa hadi leo
Daaaaaah imenifanya nikumbuke kile ninachokipinga kwamba kwenye vitabu vyetu bado tunafundishana ujinga eti binadamu wa kwanza alikua nyaniNa hoja ndio hoja yangu tusitweze na tafiti za wazungu na kuzikubali tu kuwa ni za wazungu tuwe watu wa kuhoji na kama mwanzoni hakuna waliohoji basi ni zamu yetu sasa nasi kuhoji japo kupitia JF