Ukimsikiliza Nchimbi
Ukimsikiliza boss wake
Wanachoongea ni kama watu kutoka nchi mbili tofauti.
Hope Mmoja hana hamu na cheo chake
Huwezi ukamfananisha Nchimbi na Samia kwa chochote kile kwenye medani za kisiasa.
Samia ana uwezo mdogo.
Hakujiandaa kuwa rais au kuwa Mwenyekiti wa Chama. Anaamua mambo kwa mihemko badala ya mantiki.
Ana inferiority complex. Anahutubia kwa mipasho ya kuigawa nchi badala ya kuiunganisha nchi.
Hata akibadilisha speech matendo yake yatarudia ujinga ule ule.
Si kashatupa speech nzuri za 4R halafu tunaona watu wanatekwa na kuuawa hata kukemea mbinde?
Samia hana uwezo wa kuongoza nchi, hajui hata mambo madogo kama whataboutism na false equivalence.
Mtupu kabisaaa, huko kwenye international diplomacy, ma international economic espionage kwa majitu kama Xi Jinping, Vladimir Putin etc huyu analiwa kama Swala anavyoliwa na Simba.
Rais haijui dunia, haijui Tanzania.
Sasa hapo hata ukimuandalia speech nzuri itasaidia nini?
Hawa viongozi wenzetu wanawaandaa kwa muda mrefu, sisi tunabahatishabahatisha bado.