johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,592
- 165,506
Kwahiyo Mwamba ndio kafanya tukio? 🐼Wahi Mirembe Hospital.
Kwahiyo Mwamba ndio kafanya tukio? 🐼Wahi Mirembe Hospital.
Sasa ni dhahiri kwamba Msimamo wake unakinzana na Mwenyekiti wake ambaye pia ndio Mamlaka yake ya Uteuzi
Kila mtu amesikia kila neno kutoka kwa Wawili hao na wala hatuna haja ya kuyarudia.
Swali letu ni hili, Je Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM katika hali hii?
Mimi naona samia ameongea vizuri na hajataka propaganda na kuwaruka anaowatuma kutekeleza majukumu.Kwa hiyo tumemuelewa kwa kauri na sura.Nchimbi alikuwa anaigiza,kitu ambacho sio kizuri bora kuwa muwazi na watu wakujue ili wachukue hatua wanavyojua kuliko kuwadanganya kama watoto.
Nimekuuliza swali ?we unaona sawa watu kukamatwa na wengine kupotezwaMnahangaika sana Ma CHADEMA. CCM imewachanganyeni sana mpaka muda wote mmebaki mnajadili na kueneza habari zake tu. Mmesahau hadi habari za kamati kuu yenu na kuzipuuza maana mnajuwa kuwa hakuna mwenye habari nazo wala kuzihitaji.
mbona unainglia yasiyokuhusu kwa faida ya nani labda?Sasa ni dhahiri kwamba Msimamo wake unakinzana na Mwenyekiti wake ambaye pia ndio Mamlaka yake ya Uteuzi
Kila mtu amesikia kila neno kutoka kwa Wawili hao na wala hatuna haja ya kuyarudia.
Swali letu ni hili, Je Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM katika hali hii?
Huwezi ukamfananisha Nchimbi na Samia kwa chochote kile kwenye medani za kisiasa.Ukimsikiliza Nchimbi
Ukimsikiliza boss wake
Wanachoongea ni kama watu kutoka nchi mbili tofauti.
Hope Mmoja hana hamu na cheo chake
Hatari mnoVita ya urais makundi 2025 inajiinua taratibu