Je, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa CCM?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,908
239,824
Sasa ni dhahiri kwamba Msimamo wake unakinzana na Mwenyekiti wake ambaye pia ndio Mamlaka yake ya Uteuzi

Kila mtu amesikia kila neno kutoka kwa Wawili hao na wala hatuna haja ya kuyarudia.

Swali letu ni hili, Je Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM katika hali hii?
 
Mimi naona samia ameongea vizuri na hajataka propaganda na kuwaruka anaowatuma kutekeleza majukumu.Kwa hiyo tumemuelewa kwa kauri na sura.Nchimbi alikuwa anaigiza,kitu ambacho sio kizuri bora kuwa muwazi na watu wakujue ili wachukue hatua wanavyojua kuliko kuwadanganya kama watoto.
 
Sasa ni dhahiri kwamba Msimamo wake unakinzana na Mwenyekiti wake ambaye pia ndio Mamlaka yake ya Uteuzi

Kila mtu amesikia kila neno kutoka kwa Wawili hao na wala hatuna haja ya kuyarudia.

Swali letu ni hili, Je Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM katika hali hii?
CCM ni Chama kikubwa kinachoruhusu kutofautiana kimtazamo. Tofauti na wengine ambao haurusiwi kutofautiana na Mwenyekiti.
 
Mnahangaika sana Ma CHADEMA. CCM imewachanganyeni sana mpaka muda wote mmebaki mnajadili na kueneza habari zake tu. Mmesahau hadi habari za kamati kuu yenu na kuzipuuza maana mnajuwa kuwa hakuna mwenye habari nazo wala kuzihitaji.
Unalia nini futa machozi...maji yakisha mwagika hayozoleki hiyo Damu ya Mjeda itawatesa sana!!! Muulize Nduli Amini
 
Sasa ni dhahiri kwamba Msimamo wake unakinzana na Mwenyekiti wake ambaye pia ndio Mamlaka yake ya Uteuzi

Kila mtu amesikia kila neno kutoka kwa Wawili hao na wala hatuna haja ya kuyarudia.

Swali letu ni hili, Je Nchimbi ataendelea kuwa Katibu Mkuu wa CCM katika hali hii?
Muda utatoa majawabu.
 
Back
Top Bottom