GT indeedIngekuwa Hivi Alivyondika Pascal Mayala Basi Mama Zetu Nina Hakika Wasingetuzaa Yaani Mama Akizaa Mtoto Mwenye Matatizo Huwa Siyo Mwisho Wa Uzazi
Sasa Mature Unaypitaka Wewe Ni Ipi?
Duniani Kote Vyama Mbalimbali Vinaongaza Nchi Zao Bila Hilo Neno Mature
Watanzia Wengi Wanataka Kuona Ccm Siku Moja Inapisha Tena Kwa Amani Sana
Tuendelee Na Ccm Hata Kama Itashindwa Uchaguzi Ndicho Ulichoandika Wewe
Ingekuwa Hivi Alivyondika Pascal Mayala Basi Mama Zetu Nina Hakika Wasingetuzaa Yaani Mama Akizaa Mtoto Mwenye Matatizo Huwa Siyo Mwisho Wa Uzazi
Sasa Mature Unaypitaka Wewe Ni Ipi?
Duniani Kote Vyama Mbalimbali Vinaongaza Nchi Zao Bila Hilo Neno Mature
Watanzia Wengi Wanataka Kuona Ccm Siku Moja Inapisha Tena Kwa Amani Sana
Tuendelee Na Ccm Hata Kama Itashindwa Uchaguzi Ndicho Ulichoandika Wewe
Mkuu unaweza kuwa umeandika kinazi sana...lakini una hoja katika sentensi yako
Nchi yoyote ile duniadi..yoyote ile...Rais anapitishwa na system.....Kama state ikikukataa huwezi kuwa rais
Hivyo CHADEMA wana kazi kubwa sana ya kuwashawishi "system" kwamba wanaweza kukabidhiwa dola....
Vituko walivyofanya mwaka 2015...vilikuwa vituko vya karne...Huwezi kumchukua mtu aliyekuwa Vetted out na "System" na kutaka kumuingiza ikulu.
Wafanye siasa makini na wajitahidi kuondo confrontation na vyombo vya "state"
Nafasi Za Kuteuliwa Bado Zipo Nina Hakika Kwa Hili Dekio Analopiga Pascal Lazima Sizonje Atamlipa Tu .
Mkuu nyie ndio mnarudisha demokrasia nyuma hao system ni kina nani kma sio maccm yamejazwa huko....... hao so called system sijui kitengo sijui TISS wateva the case is wapo kwa maslahi ya ccm sio nchi!!!!Mkuu unaweza kuwa umeandika kinazi sana...lakini una hoja katika sentensi yako
Nchi yoyote ile duniadi..yoyote ile...Rais anapitishwa na system.....Kama state ikikukataa huwezi kuwa rais
Hivyo CHADEMA wana kazi kubwa sana ya kuwashawishi "system" kwamba wanaweza kukabidhiwa dola....
Vituko walivyofanya mwaka 2015...vilikuwa vituko vya karne...Huwezi kumchukua mtu aliyekuwa Vetted out na "System" na kutaka kumuingiza ikulu.
Wafanye siasa makini na wajitahidi kuondo confrontation na vyombo vya "state"
This is funny indeed..... ambacho sielewi is CCM perfect kma sio perfect iweje muone chadema hawawezi ongoza??? Nyie mngekuwa mmeperform higher than xpected kma kagme hivi ningeona kweli hakuna haja ya chama mbadala kuingia ikulu.... ssa nyie miaka 50 mmeshindwa kila kitu mnapata wangu nguvu za kusema chadema hawapewi nchi maana hawawezi uongozi je nyie mmeweza??? Kma mmeshindwa basi hamna moral support ya kukataa mbadala apewe nchi!!! Mnanikera sana ccm now whats this ..... eti "mafisadi wa richmond" huku huongelei kina muhongo chenge tibaijuka january wote hao wapiga dili waliojazana ccm.Sidhani kabisa wala sitaki kuona chadema ikipewa ikulu!!marafiki zako siyo wazuri kwa mstakabali Wa nchi yetu!!eg 2015 liko kundi katika mataifa ya jirani walikuwa wakishangilia nchini mwao kuwa mtu wao (labda ni kabila lao) wanaingia ikulu ya Tanzania!! Sasa unaweza kujiuliza what was the agenda behind!!
Hawa hawaaminiki kabisa na hawasimamii wanayosema!!eg ni the list of shame!!waliwataja watu kwenye list kuwa ni mafisadi papa but still again waliwachukuw ni kuwafanya wagombea wao!!
Wanaopendekezwa kugombea urais 2020 kupitia chama hiki wanajulikana so wasafi kiasi hicho!!eg Mr zero(Ranchi) na richmonduli!!
Hawana watu wakushika nyadhifa serikalini kwa jinsi hiyo lazima wazime watu kutoka CCM!eg yule jamaa Wa Kenya ilikuw awe governor Wa BoT!
Sasa MTU ambaye anataka ikulu ataanzaje kuwatukana majeshi ya nchi Yake?
Hawana mshikamano Wa kizalendo!!eg .wafanyakazi hewa ,watuhumiw wa madawa ya kulevya wanatetewa na wanasheria Wa chama hiki !!sasa hapo kina uzalendo kweli?na utampaje ikulu MTU ambaye anadalili za kutokuwa mzalendo?
Ok boss but have u considered the political climate that opposition parties are experiencing currently???? Dont u think it plays a factor in the so called "wrong direction" that the party is taking??I think the party is heading toward the wrong direction, Dr. Mashinji - the party secretary is slow and a mediocre he has no plan at all.
Kwahiyo Moi hakuwa na system?? Mobutu je?? Trump system mboba haikumtaka na akapita??? Membe system ilimtaka mbona hakupita???mama yangu!
wachache sana wanajua hili
wanajua ballot box tu!!
dunia haiko hivi