Huyu naye ni jipu naona anakimbia fedheha akamuliwe tu hamna namna
Magufuli alipokuwa anazunguka nchi nzima kuomba kura aliudhiwa na tabia ya ccm kumbadilishia wale aliokuwa anaongozana nao kwani kila mmoja wao alikuwa anamuuliza juu ya cheo gani angepewa banda ya Magufuli kushinda; hivyo akawaambia ccm kuwa angeendelea na kampeni yake akiongozana na kada mmoja tu nae alikuwa Bulembo!!
Kujiuzuru kwa Bulembo toka kwenye bodi hiyo ya Ngorongoro ni lazima amenusiswa kuwa aondoke mapema asije akapata aibu mara Magufuli atakapoivunja hiyo bodi!!
Siku nasisi wenye mlengo tofauti tukiamua kuidai haki kwa nguvu,si wewe wala vitukuu vyako mtakuwa salama!
Maneno ni sumu,endeleeni kuongea ila ipo siku kuna watu watawaamini na kuchukua njia mbadala!
Huyo ni mtu wa karibu wa Magufuli ,huenda Magu amemtonya kuwa huko kwenu Kuna jipu jiuzulu mapema ili alinde heshima yake!Kaogopa nini?
huyu ni kada mkubwa
sidhani kama kuna scandal yoyote chama kingemtosa
halafu ujumbe wa bodi sio utendaji
unless awe na maslahi mengine
Acha upuuzi.
Rudi kwenye mada.
Kaogopa nini?
huyu ni kada mkubwa
sidhani kama kuna scandal yoyote chama kingemtosa
halafu ujumbe wa bodi sio utendaji
unless awe na maslahi mengine
Hayo kayasema Bulembo wakati wa kampeni mkuu.
Kuna uhusiano gani kwa yeye kuwa mjumbe wa bodi hiyo na kuwa mwenyekiti wa wazazi? Nasema kwa sababu amejitambulisha kama "mwenyekiti wa wazazi Tanzania" alipomalizia kuandika
Kuna uhusiano gani kwa yeye kuwa mjumbe wa bodi hiyo na kuwa mwenyekiti wa wazazi? Nasema kwa sababu amejitambulisha kama "mwenyekiti wa wazazi Tanzania" alipomalizia kuandika
Acha upuuzi.
Rudi kwenye mada.
Ccm imefanya makosa mengi lakini haitafanya kosa kukabidhi upinzani ikulu???