JE bado niamini kuwa ananipenda

Hiyo no 3 huwa naipenda sana yani hata ukiniambia kwa utani ujue imekula kwako
 
Mkuu badilika, vitu vingine havihitaji hata kuomba ushauri ni kuchukua maamuzi haraka tu tena kuonesha seriousness futa no yake kabisa ili umsahau ikiwezekana tafuta mwingine ambaye atakuthamin sio huyo mpuuzi anayekwambia unamboar
 
Kuna watu wa muhimu anachat nao huko wsap na fb, ww si wamuhim kwake so nakushauri jikatae, acha uwoga.
 
mr-omar.jpg
hahhhh mr omar mzee wa wajanee,,,,how are you paul???
 
Ana mwanaume mwingine wewe amekuweka kwenye friendzone... Huyo anakupenda ila hana mapenzi na wewe... kwa kingereza tunasema... " She likes you but doesn't love you"... Kimsisitizo zaidi... "You are just an option to her not a priority"... Tafakari chukua hatua...
 
Mimi kila nikipata babe boo mi ndio nakuwa super man kwake, yaani nakua nacontrol kila kituu yeye ni kufuata tu.

Natamani sana nipate babe boo mwenye visa kama hivyo iseeee
Njoo kwangu utajuta that yo wish is granted
 
Back
Top Bottom