Mkienda huko Lunch inatumika hela ya nani?!tukiwa tunaongea face to face interest zinaonekana kwa 80%..kwa ananipenda..maana hata nikiwa wapi anifata mwenyw na kuniomba kampani ya lunch au break fast ,,mpaka apo nakuwa sielewi apo kama ananipenda au la
Sikia mkuu hawa wanawake hujawaelewa vizuri, huyo anahitaji kushawishiwa sasa naomba namba yake halafu nitumie majina yako pm nitajifanya mimi kaka yako na umenilalamikia kwahiyo ndiyo nimempigia kumuweka sawa.sasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?
nauliza ivo kwasababu reactions zake naziona... maana yeye anapofanyia kazi huwa nakuja pale kuleta documents za office,,akiniona anafurai sana tofauti na wengne ninaokuwa nao paleSijui kwanini nimekua nina tabia mbaya sana. Kuna threads uandishi wake hua naona kama aliyeleta anagawa chai, basi hua nasoma profile ya mleta uzi kisha nahitimisha kua huyu kaja kufurahisha genge.
Mtu kakwambia ana boyfriend, hamuwasiliani hadi umtafute halafu unauliza swali la kisasa kama hili?
ndo maana ke...nimeamua kukaa kimya japo yeye analalamika tukikutana...
Wala hajalalamika ila alikuwa ananogesha mazungumzo... Hakupendi wala aisee jamaaa.sasa kama HANIPENDI..kinachomfanya alalamike eti namchunia siku izi anamaana gani sasa?