Tatizo siyo dini tatizo naloliona hapo ni elimu yetu duni inayofanya mtanzania kutojua kwamba duniani kuna lugha mbali mbaliWataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.
Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.
Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.
Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?
Karibuni
Pili ungejua misingi au maana ya uislamu usingejiuliza hayo maswali yako,maa uislamu msingi wake ni kwamba mungu ni mmoja ,na alitumia mitume kugikisha ujumbe duniani kuanzia adam, musa hadi muhammad
Allah kwa kiarabu ni mungu, awe mkristo awe muislamu wote wanatumia neno allah kumaanisha mungu
Na mungu hajawahi kubadilika na ni mmoja tu hata ukiwauliza watu wa musa yani jews watakwambia mungu ni mmoja ambao kwao mungu ni yahweh,ikimaanisha mungu, na hakuna mungu watatu kama wazungu wanavyowadanganya
Na mungu alileta amri kumi ,na masharti ya chakula kama kula wanyama wanaocheua na wenye kwato zilizogawanyika ukienda kwa watu wa musa watakwambia waliambiwa hivyo, na ukiangalia quran utakuta hivyo hivyo
Swala haponi elimu tu hakuna kinachochanganya