Hana hoja hapo muulize swali dogo tu je alishawahi kuisoma bibilia ya kiarabu.Una hoja nzito, usikilizwe na kujibiwa pasipo vihoja.
Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.
Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.
Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.
Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?
Karibuni
Jibu maswali mzee nitakuelewa vizuri ,ukiniambia kuhusu kusoma biblia ya kiarabu utanifanya niamini tu kuwa Allah ni neno la kiarabu ila sio jina la Mungu..yaani ni sawa uniambie ushawahi kusoma biblia ya kizungu ambayo yesu anaitwa JESUS.Hana hoja hapo muulize swali dogo tu je alishawahi kuisoma bibilia ya kiarabu.
Mada haiwezi kuwa nzuri kama mwanzishaji wake hana anachokijua. Ni vizuri kufanya rejea kadhaa za vitabu kabla hujaanzisha mjadala. La sivyo utajibiwa kama ulivyoanzisha mada yako .Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.
Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.
Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.
Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?
Karibuni
Kama hauna majibu kaa pembeni wenzako watakuja kujibuHaya si ndiyo yale mambo yetu yasiyokuwa faida.
Ulipenda kupata tarehe zikusaidie nini?
Una hoja nzito, usikilizwe na kujibiwa pasipo vihoja.
Kama hauna majibu kaa pembeni wenzako watakuja kujibu
Si ulete hizo rejea mzeeMada haiwezi kuwa nzuri kama mwanzishaji wake hana anachokijua. Ni vizuri kufanya rejea kadhaa za vitabu kabla hujaanzisha mjadala. La sivyo utajibiwa kama ulivyoanzisha mada yako .
sijakufokea ,tupo hapa kueleimishana ndio mana nikasema kama hauna majibu kaa pembeni wengine watakuja kujibuUsinifokee ndugu wenye jf wameniruhusu kuandika lolote utake usitake.
Na hapa ndio tatizo lilipo..kwa nini mfungwe kiasi hicho,nini kinafichwa..mbona wakristo wao wameambiwa na yesu tafuteni muijue kweli na hiyo kweli itawaweka huru.Kwetu yapo yanaitwa mafumbo ya Imani.
Yaani dogma.
Hayo kwa vile hatuwezi kuwa na majibu na hata tukiwa nayo hakuna athari tulikubaliana kwenda kumwuliza mwenye majibu take huko huko mbinguni aliko tutakapofika.
Au wewe hukupata kusikia uwepo maswali kama hayo?
Duuh kumbeeSio tu Muhammad hakuwa Muislam hadi alipofikisha miaka 4o.ukweli ni kwamba Muhammad maisha yake yote hakuwa Muislam hadi anakufa.
Allah alimwambia yeye awe wa kwanza katika kuslimu jamaa akapiga kimya,badala yake akamsilimisha mke wake.
Mke ndiye akawa Muislam wa kwanza,Muhammad hadi anakufa hakuwai slim kama Allah alivyomuamru.
Uenda jamaa alijua uislam ni changa la macho,akachomoa kuslim.
sijakufokea ,tupo hapa kueleimishana ndio mana nikasema kama hauna majibu kaa pembeni wengine watakuja kujibu
Nimekuelewa ,kifupi ni fumbo la imani na hamna majibu sio?Post #10 umeiona ndugu?
Ndiyo maana nikasema haya ndiyo yale yasiyokuwa na faida.
Au majibu ni yale tu, unayotaka wewe kusikia?
Kulikoni kutokuvumilia maoni ya wengine hata kama huyapendi?
Na hapa ndio tatizo lilipo..kwa nini mfungwe kiasi hicho,nini kinafichwa..mbona wakristo wao wameambiwa na yesu tafuteni muijue kweli na hiyo kweli itawaweka huru.
With reference to nothing?Si ulete hizo rejea mzee
Allah ni neno la kiarabu likimaanisha mungu, hiyo ni sawa na kuuliza mungu alikuwapi kipindi watu hawaongei kiswahili, Mungu aliyemtuma Muhamad ndiye aliyemtuma ibrahim, Musa, Yesu na Yakobo na mitume wengine. Quran kufanana na vitabu vingine ni sawa sababu aliyevileta kwa binadamu ni mmoja. Na kuhusu Mungu kuruhusu vitabu vyengine kuchakachuliwa ni miongoni mwa mipango yake ili alete kitabu cha mwisho kwa viumbe wa mwisho . Na kama vile watu wa zamani wakifanya makosa wanapigwa tukio hapo hapo ila sisi kizazi cha mwisho tumeachwaWataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.