January Makamba na Wilson Kabwe ni mtihani wa utendaji wa haki na uadilifu wa utawala wa Magufuli!!

Namkubali sana JPM lakini nae ni BIG JIPU. Huu upuuzi Wa umeya Dar unaendlea nae atolea macho tu as if haoni.
 
kabla ya kuwaza kutumbuliwa kwa wilson kabwe waza na jiulize ametoa wapi nguvu ya kufoji hati ya mahakama?????
Jibu ni jepesi mno,, nami naongezea "mamlaka /kanuni aliyoitumia jecha aliitoa wapi"!? Tukiyapata hayo jua ndivyo... ilivyo!

Tuwe waungwana, let say wangekuwa ni wakosoaji/wapinzani ndio wamefanya hayo, mjadala ungekuwepo hapo ama hatua KALI ni kwa Wapinzani PEKEE!?
 
...................................
Kuna huyu kaimu mkurugenzi wa jiji la Dar,Bw Wilson Kabwe,huyu amehusika kwa kiasi kikubwa katika suala kufoji amri ya mahakama kufuta uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar.

Huyo Kabwe amekuwa akitajwa miaka mingi sasa, tangu akiwa Mwanza ambako alidhalilisha jiji na hata kuiba anavyotaka. Tatizo ni watu hawa wanatumika kwenye mambo ya kisiasa. utakuta ametumika sana kuchota pesa ya serikali na kuihamishia kwenye chama.
 
Nakwambieni hili la ku-forge hati ya Mahakama lingefanywa na CHADEMA, lazima mtu angefungwa miaka kadhaa! Double standard ya nchi hii...ngachoka kabsa!
 
na fisadi lowasa afukuzwe chadema kupisha uchunguzi wa wizi wake wa RICHMOND
 
Nakuunga mkono ila nina uhakika serikali ya CCM haitakuwa radhi kumfikisha Lowassa mahakamani kwakuwa hakuwa peke yake kwenye dili la Richmond, Mkwere pia ataburuzwa mahakamani kwasababu walipiga wote dili.
na fisadi lowasa afukuzwe chadema kupisha uchunguzi wa wizi wake wa RICHMOND
 
Nakuunga mkono ila nina uhakika serikali ya CCM haitakuwa radhi kumfikisha Lowassa mahakamani kwakuwa hakuwa peke yake kwenye dili la Richmond, Mkwere pia ataburuzwa mahakamani kwasababu walipiga wote dili.
CHADEMA NDIO IMCHUKULIE HATUA LOWASA KWA KULIIBIA TAIFA...HAIWEZEKANI CHADEMA WANAOJINASIBU WANAPINGA UFISADI KUMKUMBATIA LOWASA ANAETUHUMIWA KULIHUJUMU TAIFA KWA WIZI
 
CHADEMA NDIO IMCHUKULIE HATUA LOWASA KWA KULIIBIA TAIFA...HAIWEZEKANI CHADEMA WANAOJINASIBU WANAPINGA UFISADI KUMKUMBATIA LOWASA ANAETUHUMIWA KULIHUJUMU TAIFA KWA WIZI
naona unalala na kuamka uku ukimwaza lowassa tu pole
 
Mkuu usipende kuvuruga nyuzi za wadau .
Anayezungumziwa hapa ni Wilson Kabwe Afisa wa jiji aliyehusika
na kughushi barua ya zuio la uchaguzi wa Meya wa Dar.
 
Hiyo 'kashfa' ya Makamba ishaishiwa pumzi!
yaah imekuwa zaifu. Haina mashiko. Lakini hapa wewe huoni harufu flani ya ujanja kukwepesha mambo. Ndio mana Nyerere alisema hupaswi hata kusingiziwa hata kwa harufu. Kama wewe msafi wataanzia wapi mana hata hiyo harufu kama hii ya JM haitakuwepo. Hapa January harufu mbaya imemwandama. Na sheria zilizopo nilitegemea waliochafua wote mbele za haki Kuondoa hiyo harufu. lakini haa kimyaaa. HARUFU...
 
HAHAHAA

JANUARY MNALALA MNAMUOTA...ASUBUHI ASUBUHI MNAANZISHA THREAD BADALA MNAACHA KUFIKIRI MTAPATAJE MLO WA LEO...PAMBAAVUUU
Waache badala wafikirie maisha yatakwendaje asubuhi yote na baridi hii wanamuwaza mwanaume mwenzao.
 
Magufuli hana uwezo kumgusa makamba Yale matambo yake majukwaani ni sinema tuu et mahakama ya majuzi na mafisadi wakati ndo yamemzunguka na mengine kayapa uwaziri hili li chama hili'kwanza l'île li ofisi lao vipi limeteketea lote leteni picha
 
SUALA HILI LIMESHAKUWA KAMA MAJUNGU TU KAMA ANAVYOFANYIWA MAKONDA.YAANI UKAWA WAMEBAKIZA KUPAMBANA NA PROF MUHONGO,PAUL MAKONDA,MAKAMBA NA NAPE NAUPE
HEKO TO ELIMU ZA HAPA NA PALE.
 
Ni kwanini mahakama isimshtaki kwa kufoji nyaraka zake? Au na yenyewe inamwogopa? Nchi hii mchanyato kabisa kama siasa zimejaa mahakamani hadi msajili mmoja mwanamke nimemsikia jana kwenye itv akisema hapa kazi tu tutegemee haki hapo? Mungu atatuhukumia tu ipo siku.
 
Back
Top Bottom