January Makamba: Dkt. Ndugulile alinitafuta na kunieleza Jambo lake la WHO ila alikuwa na wasiwasi kama Serikali itamkubalia, nikalibeba na kumsaidia!

Waziri mstaafu wa Mambo ya Nje January Makamba amesema marehemu Ndugulile alimtafuta na kumweleza jambo lake la WHO ila alikuwa na wasiwasi kama serikali itamkubalia.

Makamba amesema alilichukua Jambo hilo na kulipeleka Kwa mh Rais Samia na kulipitisha.

Kisha January Makamba na Ummy Mwalimu wakaunda Timu ya Ushindi iliyofanikisha Dr Faustine Ndugulile kuchaguliwa kama Mkurugenzi wa WHO Afrika.

Ahsanteni Sana 🐼

Hongera sana Makamba Jr kwa moyo wa kusaidia.
 
Waziri mstaafu wa Mambo ya Nje January Makamba amesema marehemu Ndugulile alimtafuta na kumweleza jambo lake la WHO ila alikuwa na wasiwasi kama serikali itamkubalia.

Makamba amesema alilichukua Jambo hilo na kulipeleka Kwa mh Rais Samia na kulipitisha.

Kisha January Makamba na Ummy Mwalimu wakaunda Timu ya Ushindi iliyofanikisha Dr Faustine Ndugulile kuchaguliwa kama Mkurugenzi wa WHO Afrika.

Ahsanteni Sana 🐼
Mstaafu au aliyefurushwa?! Acha uchawa wa waziwazi.
 
Waziri mstaafu wa Mambo ya Nje January Makamba amesema marehemu Ndugulile alimtafuta na kumweleza jambo lake la WHO ila alikuwa na wasiwasi kama serikali itamkubalia.

Makamba amesema alilichukua Jambo hilo na kulipeleka Kwa mh Rais Samia na kulipitisha.

Kisha January Makamba na Ummy Mwalimu wakaunda Timu ya Ushindi iliyofanikisha Dr Faustine Ndugulile kuchaguliwa kama Mkurugenzi wa WHO Afrika.

Ahsanteni Sana 🐼
Ashakuwa waziri mstaafu bwashee!
 
Back
Top Bottom