balozimchomvu
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 162
- 92
Asahau manake wewe peke yako ndoo unapitisha rais nchi hii, watu MNA tabu sanaMakamba Nae Anautaka Urais, Asahau
Akitoka JPM anaingia DAB

Yaani zunguka yote ili umtaje lowassa tu?? Kwahyo makamba kamuongelea lowasa na dk salim au sumaye au majaliwa??? Ila lowasa tu!!!!Waziri wa Mazingira, January Makamba amekana katu katu kuwa alichukia na kususa baada ya Rais Magufuli kumtosa katika nafasi ya Waziri Mkuu wa awamu ya tano.
Akitiririka mubashara, Makamba ametabainisha kuwa baada ya uchaguzi siku zote amekuwa akiomba asichaguliwe katika wadhifa huo mkubwa bongolala maana ungeweza kumharibia keria yake kwenye siasa.
Bado nina umri mdogo na nina safari ndefu sana kwenye siasa na kuwatumikia wananchi. Ukichaguliwa nafasi hizo kubwa ina maana unaua karia na huwezi kuendelea na siasa.
----
Binafsi naungana sana na Mh. Makamba. Historia ya Tanzania ukimtoa Nyerere, hakuna waziri mkuu yeyote mstaafu ambaye alishawahi kuwa Rais, wote huwa wanaangukia pua. Kuna waziri mkuu fulani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na aliyekuwa namba moja kwenye LIST OF SHAME ya CHADEMA bado anahangaika kuwa Rais na amekinunua chama kilichokuwa kikimpinga kwa zaidi ya miaka 10.
Mkuu point yako ni nini hasa? Kumuongelea Lowassa au nini?
Chuki inatoka wapi hapo sasa? Huo ni mfano wa alichokiongea Makamba maana wengine humu mpaka mifano ndo wanaelewa.Sasa mkuu Lowasa ameingiaje hapo? Hata mimi simzimii mzee ila sio kwa chuki yako.yaani umepika chakula ila umeona bora kachumbari uweke Lowasa na chadema? Acheni mambo hayo
We akili zako umeziacha chooni ulivyoenda kata gogo baada ya kuvimbiwa viporo.Kwahiyo wakati alipochukuwa fomu ya kugombea Urais na kupenya hadi tano bora je alikuwa anagombea Urais wa Miss Tanzania?
Wewe ni Makamba wote hamna akili zero kabisa.
Sasa mkuu mbona matusi, wapi nimesema Lowassa fisadi. Usintafutie ban.Tulia wewe mammalia fisadi alikuwa mumeo
Daud Albet Bashite (in Gwajima's voice)DAB ndio nani
Nyoooo, huna akili wewe, nani hasiyependa kuwa waziri mkuu? Fala kabisa wewe.We akili zako umeziacha chooni ulivyoenda kata gogo baada ya kuvimbiwa viporo.
Mimi nazungumzia uwaziri mkuu wewe unaleta urais. Makamba alichomaanisha ni kwamba kwake kugombea urais ni sawa lakini sio kuteuliwa uwaziri mkuu.
Umri mdogo kuwa Waziri mkuu bali umri sahihi kuwa Rais!Waziri wa Mazingira, January Makamba amekana katu katu kuwa alichukia na kususa baada ya Rais Magufuli kumtosa katika nafasi ya Waziri Mkuu wa awamu ya tano.
Akitiririka mubashara, Makamba ametabainisha kuwa baada ya uchaguzi siku zote amekuwa akiomba asichaguliwe katika wadhifa huo mkubwa bongolala maana ungeweza kumharibia keria yake kwenye siasa.
Bado nina umri mdogo na nina safari ndefu sana kwenye siasa na kuwatumikia wananchi. Ukichaguliwa nafasi hizo kubwa ina maana unaua karia na huwezi kuendelea na siasa.
----
Binafsi naungana sana na Mh. Makamba. Historia ya Tanzania ukimtoa Nyerere, hakuna waziri mkuu yeyote mstaafu ambaye alishawahi kuwa Rais, wote huwa wanaangukia pua. Kuna waziri mkuu fulani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na aliyekuwa namba moja kwenye LIST OF SHAME ya CHADEMA bado anahangaika kuwa Rais na amekinunua chama kilichokuwa kikimpinga kwa zaidi ya miaka 10.
Sio daby kweliDAB ndio nani
Basi ni mazombi haoChuki inatoka wapi hapo sasa? Huo ni mfano wa alichokiongea Makamba maana wengine humu mpaka mifano ndo wanaelewa.
Deal wewe tutakukata viungo sasa hivi!Point ni kwamba, kama umeweza kuwa kwenye siasa mpaka ukafikia uwaziri mkuu ni vyema ukapumzika siasa, zaidi ya hapo ni kujishushia heshima kama waziri mkuu mstaafu fulani ambaye sasa ni mwenyekiti wa CHADEMA Pwani.
Huyu nae kachuja sana!Eti nae alitaka kua rais wa nchi na nina amani bado anataka kua rais.Nchi yetu shida sana, mtu akiwa anajipendekeza ndani CCM na kupata vyeo anataka awe Rais!Waziri wa Mazingira, January Makamba amekana katu katu kuwa alichukia na kususa baada ya Rais Magufuli kumtosa katika nafasi ya Waziri Mkuu wa awamu ya tano.