Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,510
- 11,322
Shalom,
Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala.
Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa, mibaba mihuni tu inayonyandua mademu hovyo tu imegeukia hio fursa kuelimisha kuhusu Ndoa, mijitu imefeli inakomaa kujifanya inajua.
Hizi maada za makungwi na mafaza wa kuhusu Ndoa zimulikwe waache mara Moja,
Mada za ndoa zifundishwe na watu waliomo kwenye ndoa zilizo hai na imara na zifundishwe na watu wenye sifa mfano mashekhe na wachungaji na mapadre, maaskofu.
Kwenye hili la ndoa hao manabii wa uchwara wote wapigwe marufuku kubwa na nzito sana.
Ndoa ni eneo nyeti tusiache vibaka wakavamia hili eneo msingi katika ujenzi wa Taifa baadae itakuwa majuto.
Nawasilisha kwa mjadala zaidi