JamiiForums ni moja ya sehemu nzuri ya kupima IQ ya watanzania wengi

Sawa mwanawaane kwa hiyo unatumia likipimo gani kupima hiyo IQ,Barometer au Thermometer:D
 
Siku hizi IQ inapimwa Jamiiforums!

JamiiForums yatosha kabisa.

Reaction ya watanzania kwa Magufuli imechangia sana mimi kuleta hii mada iliokuwa kichwani kwangu kwa muda mrefu.Watanzania hatujuitambui ni aina gani ya kiongozi tunaemtaka.Yaani tupo kama Nyumbu tu!!
 
Watanzania wengi ni wachawi na siku zote ni vigumu sana kubadishana mawazo na mtu mchawi mchawi siku zote anaamini hamna kitu kinawezekana duniani bila uchawi na mpaka leo hapa tanzania watu wanaamini watu wanao luka salakasi ni wachawi kama ukibisha sana anakuambia basi luka na wewe. Kama utaweza

Anza kuzunguka maofini ya serikali sijui wapi unakuta watu ni wasomi lakini walisha zunguka kwa waganga nchi nzima Kupigwa chale.
 
Ingia Jf ujue ni jinsi gani Watanzani walivyo viazi.Yaan ili Taifa ni gonjwa maana waliko ma great thinker kunasikitisha.Sijui hii milo?ehee Mungu naomba tusaidie kufungua fahamu zetu maana elimu imeshindwa.
 
hapa hapa jf wengine hutumwa kumchafua mgombea fulani hali inayopelekea chuki.
 
Hapana. Bila shaka na mimi nimo mkuu. Nimesharekebisha kauli yangu hapo juu. Hata hivyo sikubaliani na kipimo cha IQ. Ni kipimo cha kibaguzi kilichowekwa na wazungu kwa minajili yao wenyewe. Ndiyo maana ukimpima mzee wa kule kijijini pengine atapata maksi za chini kabisa lakini je ni mjinga?

atakuwa mjinga kweli kama wewe uliyeandika"umerekebisha kauli"ilhali unafahamu jf hatuzungumzi tunatumia maandishi.
 
Mleta mada ni mmoja wa watanzania wenye IQ ndogo kabisa ...mwaka 2008 hadi julai 2015 uliambiwa EL ni fisadi....eti ndani ya miezi miwili na ushehe unaenda kumpigia kura baada ya kugeuzwageuzwa mikono!!

Poor you!
 
Salary slip. Huu ni ukweli. Watu wanaongea vitu vya chini sana. Utagundua nchi nzima, magazeti , radio, tv zote vijiweni kote watu wanazungumzia kitu kimoja kidogo sana. Nacho ni cha JPm kwenda Muhimbili kuangalia mashine mbovu, na kumtimua mkurugenzi ili amweke mtu wake. Can this make a headline in a country where people use their brain?
A president could summon the authorities in less than 10 minites in his office and give directive without even TANDALE and MANSESE COMMON MAN knowing. The impact could be the same and perhaps more positive than him parading to the Muhimbili Managing Director's office just to suck or replace him, because of the nasty machines which are basically spana mkononi.

Nchi nyingine hiyo ingekuwa headline ya kumwonyesha rais thinks in athe opposite direction, na watu wangemdharau badala ya kumsifia kama wanavyofanya Tanzania. Ili kulinda heshima yake wasingeandika kabisa.
 
Ukiangalia jinsi mtu anavyo reply au kuanzisha mada

sio wote wengine wanaigiza kuwasoma wengine,kuact kuwa mjinga kuwajua wapi wajinga zaidi ilhali haupo hilo kundi,sema wengi wao humu ni 0 to be honest
 
Mleta hoja lkn ukumbuke watoto wa Vigogo wa chama cha mapinduzi wamejiri vijana wengi na wana ID tofauti tofauti ili hali wazo ni lile lile mada zile zile,upingaji ni ule ule...hapa JF kinachoharibu Jukwa ni UVCCM.
 
IQ ya ccm ndio balaa

IQ ya wanachama wa ccm iko chini sana inakaribiana na ya swine mfano ukisoma post za watu kama, jingalao, mr chin, ritz hamy-d faizafox, tata madiba gentamycine, lizaboni, ndo utagundua kwamba kama taifa bado tuna safari ndefu kufikia kuwa na watu wenye uwezo wa kuleta maendeleo,
 
Nilichojifunza hapa JamiiForums ni kuwa unaweza kabisa ukafanya sampling ya watanzania na ukafanya research yako kuhusu uwezo wa akili ya mtanzania katika kufikiri,kujitambua,kujenga hoja na zaidi uwezo wa mtanzania kufanya reasoning ya mambo ya msingi kama vile kwanini Mr.X awe kiongozi wangu na si Mr.Y.

Kupitia JF Jukwa la siasa,unaweza gundua kwanini watanzania hatuendelei,kwanini watu wanafeli mitihani,kwanini elimu yetu inashuka,kwanini Tanzania ni masikini, kwanini tunachagua viongozi wabovu,kwanini watanzania wengi ni watu wa kuburuzwa na wanasiasa na watu wengine wenye umaarufu au majina makubwa.


Watanzania wengi mpaka sasa hatujitambui ni wapi tulipo,wapi tulipaswa kuwepo na wapi tunataka kufika kama Taifa na wala hatujui tupite njia gani na badala yake tumebaki tunababaika mithili ya mtu aliepotea njia huku tukihangaika kupata mwenyeji(kiongozi) wa kutuonyesha uelekeo sahihi ili hali mwenyeji/wenyeji wapo na tunapishananao humu humu bara barani tunamopita.

Na kwa akili ya jukwaa la siasa wenye IQ kubwa ni wale wafuasi wa UKAWA.
 
Mleta mada ni mmoja wa watanzania wenye IQ ndogo kabisa ...mwaka 2008 hadi julai 2015 uliambiwa EL ni fisadi....eti ndani ya miezi miwili na ushehe unaenda kumpigia kura baada ya kugeuzwageuzwa mikono!!

Poor you!
Huu ni ushahidi mzuri kuwa nawe IQ yako iko chini kama ya watanzania wengi.

CHADEMA walishasoma IQ ya watanzania na wakagundua kuwa huwezi kushinda au kushindwa uraisi kwa hoja ya ufisadi wa mtu.Kama unabisha angaliwa watu hawa ambao wote wamerudi Bungeni: Chenge, Tibaijuka, Ngeleja na Muhongo.

Walichogundua viongozi wa CHADEMA ni kuwa IQ ya watanzania wengi inawaelekeza kumpenda mtu bila kuangalia wala kujali rekodi yake mradi tu wamempenda na Lowassa ndio alikuwa kipenzi cha IQ ya watanzania na kwakuwa wao wanataka kushika dola,basi wakampokea na hata kura alizopata Lowassa hakuna mgombea yoyote wa upinzani aliewahi kuzipata.

Ukitaka kujua watanzania wana IQ ya ajabu ni kura alizopata Kikwete mwaka 2005 wakati alikuwa hana rekodi yoyote ya kuvutia kisa tu walimpenda kama walivyompenda Lowassa.

IQ ya watanzania wengi imeathiriwa na u-CCM hasa kwenye nafasi ya uraisi kiasi kwamba hata CCM ingemsimamisha mtu kama Chenge bado ingepata kura nyingi tu hasa kutoka jimboni kwake na mikoa ya kanda ya kati.

Hii ndio IQ ya mtanzania hasa katika kuchagua viongozi wa kisiasa.

Hata Mkosamali alisema Bunge lililopita kuwa iwapo watanzania wataichagua CCM tena mwaka huu, basi itabidi atafutwe consultant wa kuwapima akili.

Je,Mkosamali alikosea?

Tafakari sana!
 
Back
Top Bottom