Jamii zenye uwajibikaji,tuhuma hizi zisingemuacha kiongozi madarakani!

Ccm na kuwajibika wapi na wapi tunaomba wapiga kura muwawajibishe 2020
Mliomba 2015 lakini mkawadisapointi wananchi kwa sera ya Kukumbatia, kutetea, kulinda na kusafisha Mafisadi. Sisi wananchi tutaendelea kuwawajibisha kutokana na hiyo sera yenu pendwa.
 
Mkuu Bome e, this is too much, this guy is very intelligent, and very hard working, nawaomba msiendelee kumuonea wivu mafanikio yake yaliyomletea utajiri. Na wewe work hard, get rich or die trying! .

P.
 
Mliomba 2015 lakini mkawadisapointi wananchi kwa sera ya Kukumbatia, kutetea, kulinda na kusafisha Mafisadi. Sisi wananchi tutaendelea kuwawajibisha kutokana na hiyo sera yenu pendwa.
So kumbe wakilindwa na CDM wanakuwa salama,kwamba serikali haina mkono wa kuwafikia kisa wanalindwa na CFM????
 
Mkuu Bome e, this is too much, this guy is very intelligent, and very hard working, nawaomba msiendelee kumuonea wivu mafanikio yake yaliyomletea utajiri. Na wewe work hard, get rich or die trying! .

P.
Wewe tangu umeanza kuhangaika na akina Mwaituka kule kwenye Kitimoto simba grill mbona bado umepauka ?

Afanikiwe yeye kwa haraka namna hiyo analipwa bei gani ?
 
So kumbe wakilindwa na CDM wanakuwa salama,kwamba serikali haina mkono wa kuwafikia kisa wanalindwa na CFM????
Wanalindwa haswa na CDM, si unakumbuka 2015 wakati CDM ikiwasafisha Mafisadi walitumia anga na hadi barabara zilipigwa deki. Tanzania inajua na Dunia nzima inajua.
 
Mkuu Bome e, this is too much, this guy is very intelligent, and very hard working, nawaomba msiendelee kumuonea wivu mafanikio yake yaliyomletea utajiri. Na wewe work hard, get rich or die trying! .

P.

Sitashangaa kesho ukija na uzi kukana haya uliyoandika leo!
Kiufupi hueleweki msimamo wako!
 
Wanalindwa haswa na CDM, si unakumbuka 2015 wakati CDM ikiwasafisha Mafisadi walitumia anga na hadi barabara zilipigwa deki. Tanzania inajua na Dunia nzima inajua.
Haya,hiyo serikali itakuwa ya kipuuzi sana!Eti wanashindwa kuwachukulia hatua mafisadi kwasababu wanalindwa na CDM!!!???
 
Tungeanzia na yule anayeusaka uraisi kwa udi na uvumba
 
Wewe tangu umeanza kuhangaika na akina Mwaituka kule kwenye Kitimoto simba grill mbona bado umepauka ?
Afanikiwe yeye kwa haraka namna hiyo analipwa bei gani ?
Kwanza sijapauka hii ndio rangi yangu, nimepata mafanikio makubwa, nilianza na kupanga chumba kimoja Manzese uwanja wa Fisi hadi sasa nimepanga upande mzima pale Tandale kwa Mtogole.

Nilianzia kwenye usafiri wa miguu nikaja dalala, baiskeli, bodaboda na baada ya ile ajali sasa nimehamia kwenye bajaj.

Zamani pilau ni hadi siku ya sikukuu na soda hadi akija mgeni, sasa kila siku ni sikukuu na nimejimgenisha kwa kujifanya mgeni kila nikisikia hamu ya soda.

Hata kula matunda na mayai ni mpaka niambiwe na daktari. Lakini sasa huku kwetu kila kona ni kibanda cha chips.

Tatizo letu sisi wengine ni masikini jeuri, tuko kama kozi mwana mandanda, kulala njaa kupanga! .

P.
 
kwenye ufusika usimsahau mbowe.
 
Africa itaendelea kuwa ya hovyo hovyo mpaka watu wake watakapojitambua!

Wenzetu viongozi wao wa taasisi nyeti kabisa wanahojiwa hadharani kabisa..sisi hawa wa kwetu tumewajaza makinga ili watutafune sawa sawia!

Mtu ana tuhuma ya kughushi cheti akiulizwa anasema vita ya madawa ya kulevya haijapata kumuacha mtu salama..jamani! Kweli??
 
Nimegundua alikuwa sahihi kabisa.. Hakudharau alisema kweli tupu!
 
njaa haitomuacha mtu salama

Ukizingatia MTU anajifanya yupo mbele halafu anadhihirisha njaa zake za waziwazi hadi makapuku forum tunamshangaa,ujue kweli trump hadi Kule kabana,jamaa anatafuta njia ya kurudi bongo kupitia kusifia upuuzi,member mzoefu anazidi kujishushia hadhi
 
Kwa kuwa Mada yako wengine wetu HATUJUI unamwongelea NANI.
USHAURI:
1.Nenda kwenye TUME ya MAADILI ukajieleze na KATOE USHAHIDI wa huyo mtu. Andikisha TAARIFA huku UKIMTAJA JINA lake.
Hutakosa msaada kama ni KWELI.
Unapoenda huko zingatia hili ni HATIA kisheria kutoa HABARI za UONGO huku ukijua unasema uongo. unaweza KUSHTAKIWA.

2.Baada ya hapo kuhusu MALI kama ulivyosema, nenda TAKUKURU na USHAHIDI wako wakutosha na JINA la mtu huyo.
Huenda utasaidika.
ISIPOKUWA kama itakuwa NI FITINA na KUMHARIBIA mtu SIFA na JINA lake basi JIANDAE na KESI ya DEFAMATION/KUMHARIBIA mtu jina.

Na uwe na MAMILLIONI ya KUMLIPA endapo utashindwa KUITHIBITISHIA Mahakama kuhusu TUHUMA zako dhidi ya mtu huyo.
Tafakari hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…