Mliomba 2015 lakini mkawadisapointi wananchi kwa sera ya Kukumbatia, kutetea, kulinda na kusafisha Mafisadi. Sisi wananchi tutaendelea kuwawajibisha kutokana na hiyo sera yenu pendwa.Ccm na kuwajibika wapi na wapi tunaomba wapiga kura muwawajibishe 2020
Mkuu Bome e, this is too much, this guy is very intelligent, and very hard working, nawaomba msiendelee kumuonea wivu mafanikio yake yaliyomletea utajiri. Na wewe work hard, get rich or die trying! .Nchi au jamii zenye uelewa wa uwajibikaji na kuheshimu dhamana ya uongozi,hizi tuhama zisingemuacha mtu madarakani:
*Kufoji vyeti
*Kuvamia kituo cha habari
*Kutukana watumishi hadharani
*Ufuska na uzinzi
*Kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kujipatia mali kutoka kwa aliowatuhumi
*Kumiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake
*Kudharau mhimili wa Bunge
Nimewaza tu kwa sauti,chukua muda tafakari!
So kumbe wakilindwa na CDM wanakuwa salama,kwamba serikali haina mkono wa kuwafikia kisa wanalindwa na CFM????Mliomba 2015 lakini mkawadisapointi wananchi kwa sera ya Kukumbatia, kutetea, kulinda na kusafisha Mafisadi. Sisi wananchi tutaendelea kuwawajibisha kutokana na hiyo sera yenu pendwa.
Akili ya hapa na pale!
Wewe tangu umeanza kuhangaika na akina Mwaituka kule kwenye Kitimoto simba grill mbona bado umepauka ?Mkuu Bome e, this is too much, this guy is very intelligent, and very hard working, nawaomba msiendelee kumuonea wivu mafanikio yake yaliyomletea utajiri. Na wewe work hard, get rich or die trying! .
P.
Wanalindwa haswa na CDM, si unakumbuka 2015 wakati CDM ikiwasafisha Mafisadi walitumia anga na hadi barabara zilipigwa deki. Tanzania inajua na Dunia nzima inajua.So kumbe wakilindwa na CDM wanakuwa salama,kwamba serikali haina mkono wa kuwafikia kisa wanalindwa na CFM????
Mkuu Bome e, this is too much, this guy is very intelligent, and very hard working, nawaomba msiendelee kumuonea wivu mafanikio yake yaliyomletea utajiri. Na wewe work hard, get rich or die trying! .
P.
Haya,hiyo serikali itakuwa ya kipuuzi sana!Eti wanashindwa kuwachukulia hatua mafisadi kwasababu wanalindwa na CDM!!!???Wanalindwa haswa na CDM, si unakumbuka 2015 wakati CDM ikiwasafisha Mafisadi walitumia anga na hadi barabara zilipigwa deki. Tanzania inajua na Dunia nzima inajua.
Tungeanzia na yule anayeusaka uraisi kwa udi na uvumbaNchi au jamii zenye uelewa wa uwajibikaji na kuheshimu dhamana ya uongozi,hizi tuhama zisingemuacha mtu madarakani:
*Kufoji vyeti
*Kuvamia kituo cha habari
*Kutukana watumishi hadharani
*Ufuska na uzinzi
*Kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kujipatia mali kutoka kwa aliowatuhumi
*Kumiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake
*Kudharau mhimili wa Bunge
Nimewaza tu kwa sauti,chukua muda tafakari!
Kwanza sijapauka hii ndio rangi yangu, nimepata mafanikio makubwa, nilianza na kupanga chumba kimoja Manzese uwanja wa Fisi hadi sasa nimepanga upande mzima pale Tandale kwa Mtogole.Wewe tangu umeanza kuhangaika na akina Mwaituka kule kwenye Kitimoto simba grill mbona bado umepauka ?
Afanikiwe yeye kwa haraka namna hiyo analipwa bei gani ?
kwenye ufusika usimsahau mbowe.Nchi au jamii zenye uelewa wa uwajibikaji na kuheshimu dhamana ya uongozi,hizi tuhama zisingemuacha mtu madarakani:
*Kufoji vyeti
*Kuvamia kituo cha habari
*Kutukana watumishi hadharani
*Ufuska na uzinzi
*Kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kujipatia mali kutoka kwa aliowatuhumi
*Kumiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake
*Kudharau mhimili wa Bunge
Nimewaza tu kwa sauti,chukua muda tafakari!
Nimegundua alikuwa sahihi kabisa.. Hakudharau alisema kweli tupu!Nchi au jamii zenye uelewa wa uwajibikaji na kuheshimu dhamana ya uongozi,hizi tuhama zisingemuacha mtu madarakani:
*Kufoji vyeti
*Kuvamia kituo cha habari
*Kutukana watumishi hadharani
*Ufuska na uzinzi
*Kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kujipatia mali kutoka kwa aliowatuhumi
*Kumiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake
*Kudharau mhimili wa Bunge
Nimewaza tu kwa sauti,chukua muda tafakari!
Zuma JacobSijawahi ona kiongozi nchi za wenzetu tuhuma lukuki kiasi hicho lakini akaendelea kuwa madarakani!
njaa haitomuacha mtu salama
Kwa kuwa Mada yako wengine wetu HATUJUI unamwongelea NANI.Nchi au jamii zenye uelewa wa uwajibikaji na kuheshimu dhamana ya uongozi,hizi tuhama zisingemuacha mtu madarakani:
*Kufoji vyeti
*Kuvamia kituo cha habari
*Kutukana watumishi hadharani
*Ufuska na uzinzi
*Kutumia mgongo wa madawa ya kulevya kujipatia mali kutoka kwa aliowatuhumi
*Kumiliki mali ambazo hazilingani na kipato chake
*Kudharau mhimili wa Bunge
Nimewaza tu kwa sauti,chukua muda tafakari!