James Lembeli: Walitaja magonjwa ya wenzao wakaacha yao

Hahaaaha, aliwapigia pushup akiwaza 'subiri nipate urais ndo nitawakomoa wote' 'nchi ya kwangu sio ya kwetu, sio ya watazania, si nimechukua fomu mwenyewe, nawapigia mipushup tu' na mkakubali mipushup
 
Mtanyooka tu na kuzoea

Magufuli oyeeeeee
Watanzania wa sasa si wale wa miaka iliyopita na kama kuna Mtanzanaia ambaye atanyooka ni huyo anayedaiwa kuwa ni mshikaji wa Bashite...ni swala la muda tu, atanyooka tu atake asitake. Kila siku ugonjwa wake unawazindua hata wale ambao jana tu walikuwa bado wamelala, inakuwa kama vile wametoka ndotoni...hawaamini wanachoona, wanachosikia au wanachokishuhudia.
 
Hii ndo shida ya akili ndogo kutawala akili kubwa....
Ila hatujachelewa.... bunge lianze... najua litakuwa live kwa instagrams na youtube accounts za wabunge wapendwa wetu...
Wabunge bebeni hata power banks 5 ... kila kitu tuone mnavyomtoa kamasi huyu mwenye akili ndogo
 
Hahaaaha, aliwapigia pushup akiwaza 'subiri nipate urais ndo nitawakomoa wote' 'nchi ya kwangu sio ya kwetu, sio ya watazania, si nimechukua fomu mwenyewe, nawapigia mipushup tu' na mkakubali mipushup
Etiii, unasemaje?
Nilishikwa na Hasira ya Ajabu iliyonifanya Kutetemeka Pale Nilipoona Mh. Nape Mnauye shujaa wa Demokrasia alivyotishiwa kwa Mtutu wa Bunduki na Mjinga aliyetumwa na Magufuli. Mtu huyu hata hakujitambulisha na hakueleza sababu na Uhalali wa Kumlazimisha Nape Kuingia Kwenye Gari. Iwapo Nape angewahi na Yeye Kutoa Silaha yake na Kumwasha huyu Mbweha Nani angemlaumu kwani Ingekuwa self Defense, When a stranger pull a gun on you, it will be justified as a self defense act if you get yours fast enough and kill him!

Magufuli sasa ameshaonyesha Beyond any reasonable doubts kwamba ni Kichaa na Ataitumbukiza Tanzania Kwenye Machafuko Makubwa. ATHIBITIWE AS SOON AS POSSIBLE
 
lakini jamani na sisi WaTanzania tumezidi matusi mitandaoni..
hivi hatuoni aibu kutukana viongozi mitandaoni???!!!

nna wasiwasi mwaka hautaisha kabla haijafungiwa

tuweni na heshima kidogo kama watu wazima
Hivi kuongea ukweli ndio matusi? .... huo ndio ukweli binti .... tambua hvyo.... ubaya kuna watu km ww bado ni akina Tomaso
 
Back
Top Bottom