saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
that's the problem with you guys..hili neno LA tuta...hamliachi.naona apa umelichange ukalileta kiingereza watu wanaongelea chenye mko nacho saa ii we unasema by end of 2018 tutakuwa na bla bla bla....nani kakwambia jambo jet itakua imepiga kimya tu na haijaagiza ndege mpya pia.infact jambo jet iko na Boeing tayari as we speak.nyinyi ngojeni 2018We ucfananishe atc na mambo ya kipuzi
By end of 2018
Bombadier Dash q400 Zitakuwa 3
Bombadier q300 moja
Bombadier CS 300 mbili
Boeing 787-8 moja
Hizo zote owned na government ....hatulease kama nyie