Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,019
- 168,057
- Thread starter
- #21
Kazi yangu mimi ni ulinzi...kuna mwanaume mwingine kazi yake ni rubani...mwingine ni mbeba zege etc etc...hivi unadhani risk ya hizi kazi ni mchezo? Mtu anakaa angani kwa ajili ya familia yake au anakesha kulinda mali against wahalifu unadhani ni mzaa? Alafu unatuambia kuwa tusiwapige sababu wanatufulia nguo!!!
Wewe ulipaswa kusema kitendo kilichofanywa ni cha kinyama, hapaswi kufanyiwa binadamu yeyote.....sio kwasababu mnatufulia nguo
What if wote na mke ni mfanyakaz na anachangia vilevile kwenye familia!!! Kazi isiwe kigezo eeeee!