Jamani "papuchi" Ndio kitu gani???

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,687
Mambo wakaka na wadada humu..
Naitwa NITAKUFA LINI..

Nimekua naona watu wanatamka hili neno "papuchi" kweny hizi discussion zenu..

Mara "hanipi papuchi yake"
Mara "papuchi yake ndogo"

Hivi hii papuchi ni aina ya smartphone, nguo, mtandao wa kijamii au nini hasa???
papuchi ndio kitu gani jamani wakuu (naonaga mnapenda kuitana "wakuu")

Msaada plz....
 
angalia huu mlango hapo
 



HIYO HAPO KATI.......................................
 
punguza bangi kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…