samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,962
- Thread starter
- #21
Kwa jinsi lilivyokuwa la sirini,sidhani kama kuna aliyewahi kujipigia picha,na hata kama alipigia kwa kipindi hiki sijui kama hipo. Nimesachi Google hola.Nyuzi zingine ukiona tu kichwa cha habari unakuwa na matumaini ya kukutana na picha ya kukamilisha habari kwa mfano huu uzi unahitaji sana picha. Mkuu tupia picha kukamilisha uzi wako plz.