Jamani kina mama kwanini mpo hivi?

Mkuu jamaa kalelewa na mama pekee,kasomeshwa na mama,ndo anakaa na mama hata akioa lazima mke aje akae na mama ake
mhhhh kazi ipo hapo! wanaume wa dizain hii (watoto wa mama) na km hafanyi wala hana maamuzi yyte mpaka amshirikishe mamake bas ni mtihani! hawanaga msimamo wanaume wa hivi haki vile ni sheeda! wafanye sana maombi...wamshirikishe Mungu kwa hili
 
mhhhh kazi ipo hapo! wanaume wa dizain hii (watoto wa mama) na km hafanyi wala hana maamuzi yyte mpaka amshirikishe mamake bas ni mtihani! hawanaga msimamo wanaume wa hivi haki vile ni sheeda! wafanye sana maombi...wamshirikishe Mungu kwa hili
Hapa kweli maombi yanahitaji mkuu tena ya kufunga
 
Sometimes wazazi wanaona mbali sana...

Nyie mnaweza msione, lakini wao washayaona... Unaweza ukamchukia mzazi leo...

Ila kesho nawe ukawa mzazi, ukachukiwa na mwanao/wanaoa, kwa jambo kama hilo hilo,..
Wanasemaga mapenzi ni ya wawili wapendanao
 
Kuna kisa kama hiki kilitokea jamaa ni wa kule kwetu Kwamtogole mtoto wa usuani yaani mama wa binti angekuwa na uwezo wa kifuta uhusiano lakini kulikuwa na mjukuu tayari. Mama alikuwa hataki mtoto aende Kwamtogole kwa baba yake eti atafundishwa tabia mbaya
Tabia Kama za Joseverest (tabia za kimtogole kwimba)!!??
 
Salama jamani kama uzi unavyojieleza hapo kuna rafiki yangu wa kike kapata mchumba na wanamtoto mmoja hadi saivi mipango ya ndoa wanayotoka siku nyingi Ila tatzo ni mama wa mchumba wake(mama mkwe) hamtaki na hanasababu ya msingi zaidi ya hamuendani,binti mbaya,mara anatabia mbaya na zingine tu za ajabu ajabu na wameshindwa kufanya mipgango ya ndoa coz itakuwa ndoa ya ajabu mama mzazi anasema hata kwa mtutu hawatapata baraka zake labda wafunge akishatoka dunian ila kwa upande wa wazazi wa binti walikuwa tayari kwa ndo ila sasa nao hawataki wanasema hawataki binti yao hakateseke bure ila binti na jamaa wanapendana sanaa tu Naomba kuwauliza wazazi hasa kina mama ni wakwe wa aina gani mnawataka Maoni na ushauri unaruhusiwa kwa ajili ya huyu rafiki yangu kipenzi
Huwa mama itakua ujanani alikua ngariba mana mpnz ya mtoto wke yeye kuingilia ni kosa aache watu wafanya yao
 
Back
Top Bottom