Jamani Hii Elimu Inaelekea wapi!???

Unajua maana ya Neno Stadi Za Kazi?
 
Walimu wanapata taabu zaidi ya hizo za hao watoto, kwanza mimi ningekuwa mwalimu nahisi ningeishia jela mana hasira za serikali wanafunzi ndo wangekuwa wanazibeba...bora wa ubavu anajiandaa kuacha kazi mana serikali imemtesa sana yani anakuwa kama hajaajiliwa vile
 
Ndio maana matoto yanamaliza shule hayajui lolote, chanzo ni Hawa wanao yalea kama Mayai...yani mtoto kuchambua dagaa nayo ni nongwa...ebo! Mbona sisi tulikuwa tunalima mashamba ya walimu tena hadi tunafanyishwa vibarua na Bado tukatusua...unajua elimu ya kujitegemea inamanisha nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…