Unajua maana ya Neno Stadi Za Kazi?Acha ujinga wewe.!! Yan km ndo mnatumia kivuli cha stadi za kazi kuwachambulisha dagaa na samaki watoto wadogo basi mna matatizo ya akili..
Haya niambie ni mtaala gani unasema mtoto achambulishwe dagaa na samaki kuanzia drs la pili mpk la tano!??? Na huo mtaala utumike kwenye baadhi ya shule tu!?? Acha kuleta upuuzi kwenye mambo ya msingi wewe!