Jamal Yassin: Nilikamatwa, nikawekwa rumande, nikateswa na nikashutumiwa gaidi

Tena amewaona mara mbili kwenye misikiti tofauti .!
Idawa,
Bahati mbaya ndugu zetu hili jambo kwenu limekuwa somo la
maskhara na ndiyo sababu ya hizi kejeli.

Askari walioua Mwembechai mwaka wa 1998 walikuja fahamika
na Waislam.

Ilipojulikana kuwa wamefahamika inasemekana wakaondoshwa
Dar es Salaam.

Hawa walioonekana na Jamai hawakuja pale kuswali na kama
ingekuwa wamefika msikitini kwa ajili ya ibada wasingekimbia.
 
Hatuendi kwa udini humu lakini ukiangalia mafunzo ya dini ya kiislamu na maswala ya ugaidi yanashabihiana ndio maana polisi wanawatarget sana waislamu. Jiulizeni kwanini wasiende kukamata watu kwa kakobe au kwa mama luakatare na awanalala mpaka makanisani wakamate waislamu tu. kwanza mtoa mada mwenyewe anasema hao polisi mwaliompiga aliwaona msikitini na angesema wangeuwawa. hii inaonyesha dhahiri kwamba huyu jamaa ni gaidi. cz on the other perspective wangeonekana kanisani akawataja impact ingekua kama hiyo ya msikitini !!! CHUKUA HATUA
Chivalrous,
Nakuomba usime kisa hiki hapo chini kisa ningependa kusikia maoni yako:
Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande Kosa Lake Kusomesha Wanafunzi Qur'an na Kukataa Kuchakachua Mitihani

MwuoHucAd6XuUk8M6gtPj8Pn02GAaToDV4qa_T_Sh5GJ=w736-h552

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko
Mwalimu wa Shule ya Msingi Lwande
Al Shabab wa Kufikirika​

Mwalimu Athmani Khalfani Mrindoko ni mwalimu wa shule ya msingi Lwande moja ya vijiji vilivyoshambuliwa kwa tuhuma za ugaidi.

Mwalimu Athmani ni mwalimu mwajiriwa na serikali kusomesha masomo ya kisekula lakini kwa mapenzi yake katika Uislam kwa kuwa walimu wa somo la dini ya Kiislam Shule za Msingi hakuna yeye hujitolea kuwasomesha wanafunzi hawa na kuwatungia mitihani.

Kisa chake ni kisa cha kusikititisha na kuhuzunisha.

Siku za nyuma Mwalimu Athmani alifatwa na walimu wenzake akaelezwa kuwa imetoka amri juu kuwa walimu washirikiane kuwafaulisha watoto darasa la saba kwa kuwakokotolea wanafunzi majibu ya mtihani wa mwisho wa darasa la saba ili kunyanyua ufaulu wa shule na hatimaye wilaya.

Mwalimu Athmani akakataa hili kwa misingi ya Uislam kuwa hicho kitendo ni ghushi yaani udanganyifu.
Udanganyifu huu ukakwama na sababu ni yeye Mwalimu Athmani.

Hapa ndipo zilipoanza chuki dhidi yake.

Sasa lilipotokea sakata la Lwande askari waliovamia kijiji kwa madai ya kupambana na Al Shabab Mwalimu Athmani akakamatwa, kupigwa na kufunguliwa kesi ya kujeruhi Mahakama ya Handeni.

Mwalimu Athmani sasa hivi ni masikini.

Alipoachiwa gerezani kwa dhamana alikuta nyumba yake imevunjwa na vitu vyake vyote vimeibiwa.

Huyu ndiye ''gaidi'' anaeshirikiana na Al Shabab.

Mwalimu muadilifu anaesomesha watoto kitabu cha Allah.

Mwalimu Athmani Khalfan Mrindoko ''Al Shabab wa Kufikirika.''

Haya ni machache.
Yapo mengi katika dhulma hii ya kumfanya mtu akabubujikwa na machozi.
Posted 7th January 2014 by Mohamed Said
Labels: makala
 
hao polisi nao,mwenzao pedo pusha inampendeza halafu wenyewe wanaleta kauzibe
Boss c ya kukejeli haya, wenyewe wanasema leo kwangu kesho kwako, naamini habari hii ukimpa mtoto wako wa darasa la tatu aisome lazima atalia lakini wewe kwa kuwa una roho ya kiharamia umeamua kuvaa miwani, ila msije kusema hamkuambiwa,jioni njema
 
Kaandika kirefu weeee lakini lengo lake nikuwachomoa wana Jamii forums elfu 27 anazodai hutumia kuchoma sindano kila siku.Japo hajaweka ushahidi wa daktari na hospitali ya kuaminika.

Lakini hata kama angeweka forgery na usanii ni mwingi siku hizi Ushauri wangu kila abiria aliyeko kwenye bus la Jamii forums achunge pochi yake ya hela kuna vibaka hadi wa dini humu wasije wakakukwapulia.
naamini ukimpa mwanao hii habari aisome halafu ukimpa huo mchango wako wa mawazo, atasikitika kwa mambo mawili
1.habari ni ya kusikitisha.
2.kwa kuzaliwa na baba mwenye ubongo wa chura.
 
Wewe unamlalamikia nani? Umeshaambiwa hili tukio lilitokea mwezi Juni, 2015. Jamaa aliteswa wakati huo. Hiyo amri ya kutesa, Pombe amepewa lini wakati hata zoezi la kumteua mwana CCM atakayegombea lilikuwa bado? Kwa ufupi hii habari imecheleweshwa kuletwa hadharani pengine kwa sababu maalum. Muulize mzee Mohamed Said akuambie ni awamu gani huyo jamaa alipokamatwa na kuteswa
Kuna sehemu nimelalamika?
We umekula maharagwe ya wapi wewe?

Jimejibu kutokana na mapovu ya huyo mgalatia aliposema "SISI WAKATOLIKI Tutawatesa sana ......"
Akimaanisha Rais Pombe na wenzake".

Sasa ndio nikamuuliza " kwa hio Magufuli kaingia madarakani Kutesa kila anaedhani ni Muhalifu?".

Usiwe unadandia maneno bila kusoma kwanza
 
Tatizo watu wanaleta masikhara na mizaha. Binafsi nimesikitishwa sana na habari hii; ushauri ili kuepusha kadhia hii kwa wengine alifikishe kwenye vyombo vya juu zaidi
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha nha ha ha ha ha ha ahan ha ha ha ha ha hapa bwana pana raha saaaaaana haya leteni facts zingine
 
Sioni kipya hapa. Tumezoea kusikia hizi habari kila mara!!! Hii nchi haina DINI, hamsikii? Mpaka muambiwe vipi? Ukitaka kuhatarisha AMANI utashughulikiwa bila kujali dini yako.
 
1. Nikupe Pole Mhanga Kwa Tatzo Lilokukuta Na Twapaswa Kujua Kwmb The World Is Not Fair.

2. Stori Hii Umeiandika Kwa Mtiririko Mzuri Tu Na Kuleta Hisia Kwa Jamii Lakn Kwa Mtu Muelewa Si Rahisi Ahukumu Kwa Kusikiliza Maelezo Ya Upande Mmoja Tu Ndio Maana Hata Mahakamani Wahusika (Mshitaki&Mshitakiwa) Wote Hupewa Nafasi Ya Kueleza Nini Kilitokea.

Kimsingi Sioni Haja Ya Kulaumu Au Kubishania Mambo Ya Dini Hasa Kwa Sisi Tulopata Stori Ya Upande Mmoja Na Kuanza Kulaumu Taasisi Zetu Au Muhusika Japo Wakati Mwingine Taasisi Zetu Huwa Na Mapungufu Yake Ambayo Hufanywa Na Watendaji Wasio Waadilifu.

Hata Enzi Za Manabii Tulishuhudia Ktk Maandiko Watu Woloonekana Watumishi Wa Mungu Kufanya Mambo Tofauti Na Sheria Ya Mungu, So Mimi Sihukumu Upande Wowote Hapa Maana Nimesikia Maelezo Ya Pande1 Tu, Lakn Bado Hatujasikia Upande Unaolalamikiwa.

USHAURI.
Kama Unaona Na Unaushahidi Wa Kutosha Kwmb Ulitendewa Isivyo, Nenda Kwa Wanasheria Wakufungulie Madai (Plaint) Ili Upate Haki Zako Kisheria Na Huo Ndio Msaada Pekee Utakaokuokoa Badala Ya Kuhitaji Msaada Kwny Media Ambapo Wengi Wataishia Kejeli Tu Na Kubishania Dini Kinyume Kabisa Na Lengo Lako.

Viongozi Wako Wadini Wapo Makini Na Wanamahusiano Na Wanasheria Wengi, So Jipange Wakuandikie Madai Ili Japo Ufidiwe Kusuuza Moyo Wako.

NB: FANYA HIVYO KAMA UNACHOONGEA NI CHA KWELI NA MUNGU ATAKUSAIDIA.
 
nakushaur uokoke na umrudie BWANA YESU kamwe hautopata mateso tena, si umewaona hao wenzako uliokuwa nao walivyookoka kwa IMANI ZAO? usikalie kulalamika kuwa ulionewa, kulingana na hadithi yako mm naamini huyo alikuwa ni SHETANI na kila mtu alimshinda kwa IMANI yake.nakushaur rudi kwa YESU mlango u wazi.
huu ndio mchango wako ,kweli mkuu...?? yaani hapa ndio akili zaqko zilipoishia, c aibu hii
 
Kilichonitoa wasiwasi ni kwamba hao waliomtesa kumbe wakisali misikitini pamoja kwa mujibu wa huyo mwislam,maana kasema alikutana nao msikitini buguruni na mtambani so yaweza'kuwa walimuhisi kitu ukichukulia jeshi la polisi linafanya kazi kwa weledi na'si hisia za kidini.na kama wanakuhisi utashughulikiwa kama muhisiwa wa shtaka fulani bila kuangalia imani yako.
Weledi huko wapi kumtesa mtu na kumtupa kama mzoga barabarani ndo weledi unaoitajika?
 
Huyu mohamed said na hawa magaidi anatutaka nini watanzania?lazima hizi fyoko fyoko zina walakini
Gaidi unamjua wewe pangu pakavu?
Kwa akili kuambiwa km wewe kila mwenye ndevu na avaae kanzu yyt ni. gaidi, huna habari Yesu alikuwa na ndevu na Alivaa Kanzu vile vile.
Wagalatia mtaelimika lini?

Tazama mwenzako hapa chini.
Nyote akili zenu zinafanana.

a6a050dc01904bb41aad13a7c5efbd48.jpg
 
Sioni kipya hapa. Tumezoea kusikia hizi habari kila mara!!! Hii nchi haina DINI, hamsikii? Mpaka muambiwe vipi? Ukitaka kuhatarisha AMANI utashughulikiwa bila kujali dini yako.
mkuu kwani huyo kahatarisha kwa namna ipi,labda tuanze na hapo tuu
 
Gaidi unamjua wewe pangu pakavu?
Kwa akili kuambiwa km wewe kila mwenye ndevu na avaae kanzu yyt ni. gaidi, huna habari Yesu alikuwa na ndevu na Alivaa Kanzu vile vile.
Wagalatia mtaelimika lini?

Tazama mwenzako hapa chini.
Nyote akili zenu zinafanana.

a6a050dc01904bb41aad13a7c5efbd48.jpg
ajabu sana hawa watu mkuu,kituko
 
1. Nikupe Pole Mhanga Kwa Tatzo Lilokukuta Na Twapaswa Kujua Kwmb The World Is Not Fair.

2. Stori Hii Umeiandika Kwa Mtiririko Mzuri Tu Na Kuleta Hisia Kwa Jamii Lakn Kwa Mtu Muelewa Si Rahisi Ahukumu Kwa Kusikiliza Maelezo Ya Upande Mmoja Tu Ndio Maana Hata Mahakamani Wahusika (Mshitaki&Mshitakiwa) Wote Hupewa Nafasi Ya Kueleza Nini Kilitokea.

Kimsingi Sioni Haja Ya Kulaumu Au Kubishania Mambo Ya Dini Hasa Kwa Sisi Tulopata Stori Ya Upande Mmoja Na Kuanza Kulaumu Taasisi Zetu Au Muhusika Japo Wakati Mwingine Taasisi Zetu Huwa Na Mapungufu Yake Ambayo Hufanywa Na Watendaji Wasio Waadilifu.

Hata Enzi Za Manabii Tulishuhudia Ktk Maandiko Watu Woloonekana Watumishi Wa Mungu Kufanya Mambo Tofauti Na Sheria Ya Mungu, So Mimi Sihukumu Upande Wowote Hapa Maana Nimesikia Maelezo Ya Pande1 Tu, Lakn Bado Hatujasikia Upande Unaolalamikiwa.

USHAURI.
Kama Unaona Na Unaushahidi Wa Kutosha Kwmb Ulitendewa Isivyo, Nenda Kwa Wanasheria Wakufungulie Madai (Plaint) Ili Upate Haki Zako Kisheria Na Huo Ndio Msaada Pekee Utakaokuokoa Badala Ya Kuhitaji Msaada Kwny Media Ambapo Wengi Wataishia Kejeli Tu Na Kubishania Dini Kinyume Kabisa Na Lengo Lako.

Viongozi Wako Wadini Wapo Makini Na Wanamahusiano Na Wanasheria Wengi, So Jipange Wakuandikie Madai Ili Japo Ufidiwe Kusuuza Moyo Wako.

NB: FANYA HIVYO KAMA UNACHOONGEA NI CHA KWELI NA MUNGU ATAKUSAIDIA.
mchango murua mkuu, lakini nina kaswali kadoogo nikuulize,unadhani huyu bwana kadanganya ,anajitetea ,au analisinizia jeshi la polisi..?? hebu nipe jibu la hilo kisha tusogee mbele
 
Huyu mleta mada hii mbn anapenda udini sana, kubambikwa kesi kupo kwa mtu yeyote. Polisi wamekuwa na kawaida hiyo.
umeelewa kilichoandikwa lakini au ilimradi tu umechangia, napata mashaka hapo kidogo
 
Duh hii mbaya sana waIslam wanateswa katika nchi yao.Rais Kikwete ni mgalatia,Makamu wa Rais Bilal Mkuu wa Mkoa Mgalatia,Mkuu wa Polisi kanda maalum Kova Mkatoliki.Ikiwa mnafanya ugadi ni kwanini msikamatwe wale waliolipua ubalozi wa Marekani walikuwa waanglikan ?.
kwani huyo jamaa aliyyekamatwa liufanyia wapi huo ugaidi??
 
Back
Top Bottom