Hiyo Picha ni yako mkuu kwenye avatar ,maan inatishandio wngn hatupat wanajal afya kama hyo
Hahahaa hapan mkuu si yang just fo funnyHiyo Picha ni yako mkuu kwenye avatar ,maan inatisha
Maana kila nikiitizama inanichekesha kweliHahahaa hapan mkuu si yang just fo funny
Hahahaa kmbe taibadlisha mkuuMaana kila nikiitizama inanichekesha kweli
bint wa kirombo unabahati sijawa mm ndio mwenyekiti(mmewako) ila ungenieleza vizuri unazipata wapi kazini tu haitoshi kunishawishiKwan zimekuwa bastola au bunduki ndo niogope kutembea nazo,lakn nikikukuta NAyo wew nikae kimya sio,wakati chini ya uvungun Bosi limejaa, kuishi na mwanaume kunahitaj uvumilivu
Wacha wee kama vile wako mahala unaenda kuchukua tu ,,
eeh warembo wamejaa tela mujini hapa wewe cha msingi ukiwa na ndalama wajiokotea tena unaweza ukawa na papuchi for each day of the week
wacha kama unaokota nyanya buguruni vile...ila jua kuna magonjwa usishangae una nyota ya kale kaugonjwa kale teh![]()
Huyo alikurupukaAlipaswa kujua kwamba mkewe anajilinda kumuacha siyo suluhu badala yake wangekaa wayamalize je angekuwa yeye?