Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi yule Bwana hata Sina hisia nae" mi nikajiongeza kumsemesha mambo ya mapenzi kajaa nimemvua chup, sasa hivi usiku huu, tupo Lodge.
Ukikutana na mwanamke akakwambia
1. Sina hisia nae
2. Hanifikishi/haniridhishi
3. Ana Sukari hawezi (diabetic)
4. Au mume Wangu ni shoga
Na mengine ya namna hio, ujue umekutana na changudoa aliyechangamka. Usitumie hata ndomu, wewe changamsha matako kimbia, labda kama na wewe ni Malaya
 
Huyo jamaa aliyebuni hiyo njia na uhakika asilimia 99 ni usalama wa taifa au ni mtu ambaye ana IQ 176..

Kwa mtu wa kawaida awezi fikilia utaalamu kama huo aiseeee..
Huyo jamaa ni genius

Sasa kuna watu watakuja hapa wataanza kusema jamaa alivyo fanyiwa sio fair imagine...
Ndo hapo naposemaga kuna watu wana mavi na matope kichwani..

Mkuu mke wa mtu ni sumu, hata asingekua sumu kama mtu unayejitambua kuwa na mipaka why unakula chakula halali cha mwenzio...

Mi sasa hv nikifatwa na mke wa mtu kwanza nampelekea kibio heavy vibao vibao alafu baada ya hapo namtafuta mumewe nae nachezeshea vitasa vitasa..

Alafu nawakalisha chini wote wawili nawakanda kisha nawapa somo kuhusu ndoa
Lakini suala la mwanamke kucheat kosa linakuwa kwa mke na sio mwanaume unless huyo mwanamke kama alibakwa✍️✍️
 
Huyo boya(SIMP) acha achapiwe maana yeye mwenyewe ndo kaanza kuvunja CODE.

#CODE NO 1; NEVER FALL IN LOVE!!!!

Huyo boya kavunja hiyo sheria sasa anamshobokea demu na kama kawaida nature inampunish kwa kutumia huyo mwanamke. Jamaa kaonesha insecurities kwa DEMU. Unamuhudumiaje demu kwa kila kitu ukute hata mamako huko anashindia uji.

Wanawake sio wa kuwaonea huruma.Huruma zako zitakuponza. Kama hukufunzwa jandoni jiandae kulearn the HARDWAY!!!

IFAHAMIKE KUWA ILI MWANAMKE WAKO AKUHESHIMU LAZIMA KUWE NA KITU AMBACHO UNACHO ANAOGOPA KUPOTEZA,BILA HIVYO WEWE OYAOYA TU LAZIMA UNYANG'ANYWE JIMBO HUNA POWER YA KULIMILIKI,UKITAKA KUMILIKI DEMU AKIKISHA UNAJUA KUTAWALA,fanya ufanyavyo uwe na kitu spesho ambacho kila mwanamke wako atakapotaka kutikisa kiberiti lazima afunge brake🤗.

#CODE NO 2: MAKE SURE MWANAMKE WAKO YEYE NDO KAKUPENDA,AND NOT OTHERWISE!

Vijana acheni kupoteza muda kwa mademu ambao nyie ndo mlitumia muda mwingi kuwaimbisha, wa hivi piga jikatae.


Alafu kwanini mnakuwa watoro kila tukiitisha kikao hamuudhurii alafu mkigongewa mnaanza kulialia.

#DEMU AKIKUSHOBOKEA, MALIZA USIPOPIGA WW ATAPIGWA TU NA WAKULUNGWA.



"THE GAME IS BRUTAL BUT STILL FAIR"
 
"ITS JUST YOUR TURN,THE CLOCK IS TICKING"

Unaweza kufananisha umiliki wa mwanamke kama kumili koloni😄😄😄

Uwezo wako wa kulithibiti na kulipumbaza koloni lako ndo utaamua ni muda gani utaendeleza utawala wako katika hilo KOLONI lako.

Vijana maisha ni mchezo, learn the GAME TO STAY ON TOP!!!
 
Kuna mmoja huyo jamaa yake kampangia bonge la nyumba, kila akija anamfungashia mahitaji kama yote, anaweza akaja na mkaa gunia mbili, gesi anajaza, mchele gunia yaana mazaga kama yoye, na wadogo zake demu anawahudumia ikiwemo shule. Lakini demu hampendi 😂 hawa viumbe hawa
Wao wanaangalia hudumua tuu.
 
Yeah upo sahihi. Tufe njaa for what? Ni ujanja wako wewe kutambua kwamba hapa napendwa au napigwa. Sio shida zetu.
Nyie mnavyojua kuigiza kwenye fedha maana kuna wengine wanatumia mpaka tunguli ili aendelee kuchuna,wengine hutumia milango ya uwani kumkamata mwanaume nk mnambinu nyingi.kuna wengine mnaenda mbali mpaka kupigana mkijua mnashare danga moja na urafiki mnafuta.
 
Kuna wanaume ving'ang'anizi sana nyie hamjui tu. Ndo hao wanaishia kuchunwa wapenzi wao hawana hisia na wao.
Jifunzeni kukubali mkikataliwa.
Hizi fix sio kwamba mwanaume kinganganizi semeni ukweli mwanamke anapata hudumu anavumilia ata kama hana hisia na mwanaume.
 
Hapa ndio utaona madhara ya kutokusoma vitabu na kujielimisha kutokana na experience za wengine.

Wanawake ni viumbe simple sana ukiijua psychology yao na kuichezea vizuri.
 
Back
Top Bottom