Kuelekea 2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,207
2,949
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

Mzee muwekeni mbali na bashite awe na uzee mwema
 
Siyo kwamba kunaweza kuhatarisha Usalama, Tayari usalama Ushahatarishwa baada ya Watekaji kupewa ruhusa ya kuteka watakavyo, Warioba Usimung'unye maneno
 
Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.Na kuongeza:

"Polisi ni chombo muhimu sana, ndicho kinalinda wananchi na mali zao na kinatakiwa kifanye kazi na wananchi wote. Katika miaka michache iliyopita tumeliingiza Jeshi la Polisi katika siasa, linatoa matamko ya kisiasa na hii italeta mgawanyiko, wananchi watagawanyika."
 
Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.

"Polisi ni chombo muhimu sana, ndicho kinalinda wananchi na mali zao na kinatakiwa kifanye kazi na wananchi wote. Katika miaka michache iliyopita tumeliingiza Jeshi la Polisi katika siasa, linatoa matamko ya kisiasa na hii italeta mgawanyiko, wananchi watagawanyika."
 
Jeshi la Ulinzi (JWTZ) ndio taasisi pekee yake iliyobaki kwa uadilifu, kwa uzalendo, kwa nidhamu. Tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ningeomba kabisa Jeshi la Ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, sio kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi," ameeleza Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Disemba 04,2024.

"Polisi ni chombo muhimu sana, ndicho kinalinda wananchi na mali zao na kinatakiwa kifanye kazi na wananchi wote. Katika miaka michache iliyopita tumeliingiza Jeshi la Polisi katika siasa, linatoa matamko ya kisiasa na hii italeta mgawanyiko, wananchi watagawanyika."
 
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

Toka aanze kuongea public matukio ya aina hii..s there any impact recorded??? mwenye mtindio wa akili ndio anasikiliza hizi garbbage, na juha anakimbia kupost hapa!
 
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa ya mipakani kama Katavi, Kigoma, na Kagera. Alionya kuwa kuingiza jeshi katika siasa kunaweza kuhatarisha usalama, akitoa mfano wa ufanisi wa jeshi katika vita ya Uganda.

"Tangu Uhuru watu wa Kongo, Burundi, Rwanda wamekuwa na machafuko, wananchi wa huko walikuwa wakikimbilia huku na wengine wakitaka kuendeleza harakati zao kutoka ndani ya nchi yetu, jeshi letu lilidhibiti mikoa mbalimbali hasa ile ya mipakani kuanzia Katavi, Kigoma, Kagera kukawa salama kabisa."

"Mnajua chokochoko iliyotokea Uganda, na mnajua kazi iliyofanywa na jeshi, tulipoteza vijana wengi sana, wale wameapa kuifia nchi na waliifia nchi, tusije tukawaingiza kwenye haya matatizo ya kisiasa, wananchi wakaanza kuwaona nao wanapendelea upande mmoja. Mimi ninaomba kabisa jeshi la ulinzi lisije likaingizwa kwenye mambo ya siasa, siyo kazi yake, kazi yake ni kulinda usalama wa nchi".

A voice of reason!
 
muda mwingine ili mambo yaende ni lazima mambo yatokee, Africa hatuhitaji demokrasia kama wazungu, mambo ya ushoga ndio yanaingia kwa gia ya demokrasia, haki sawa, haki za binadamu mambo mengine kama hayo, haiwezekani nchi zinazopinga mambo ya ushoga kama NORTH KOREA, RUSSIA, CHINA, waonekane watu wabaya, serikali inawajibika kutumia mbinu zozote kuhakikisha utu wa Mtanzania unalindwa.
 
Back
Top Bottom