Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,967
- 13,606
Raisi hana mamlaka kisheria ya kumtumbua Jaji Mkuu.Kama ilivyo kwa Gavana.Mzee Othman Kaamua tu kuondoka zake!Ni mjadala huru na ninakiri Sifahamu lolote lile, hivyo sina maslahi katika mjadala huu.
November/ December 2016: Hakuna Kesi za mafisadi hivyo ni indicator nzuri kuwa lengo limefanikiwa. Maneno kama hayo yalitolewa na Mwakyembe na pengine yalikua backed up na Mzee Chande. Maana hakupinga, kwahio walikubaliana kutoka kwa statement kama hio???? Je ilimpendeza Mteuzi Mkuu???
January 2017; Professor Palamagamba ( Gwiji wa Sheria) anateuliwa kuwa Mbunge, ili iweje??? Sijajua, halafu wadadisi wanasema kuwa huenda kukawa na Mabadiliko kwenye Baraza!!! Huenda baadhi wakaachwa! Ni akina nani? Je ni kweli Baraza laweza kuwa reshuffled??
February?????