fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,066
Je unahitaji kuwa na akili kuwa msajiri wa chochote?
Akil za mosh wa mwenge hz hao mashoga waliopo nan aliwaambia wawe mashoga?cjui mmesomea ujinga huko shule?au kuna koz ya ujinga hapo lumumbaAcha kufananisha uchizi na hekima wewe kijana mdogo
Jiongeze kidogo uangalie wapinzani wanavyo jali matumbo yao tu!
Upinzani wa nini? Watu kuwa vibaraka wa watu weupe ndio upinzani?
Upinzani wa kutuletea ushoga?
Wewe veeeepe
Watakaokuelewa ni wenye akili pekee, Nzi wa green hawezi kujua unamaanisha nini!Act haikuchoma, wale ni wana chama wa cuf wameshusha bendera zao, hakuna mwanachama wa cuf alie kuwa na card siku ile ya act, hivyo ule uchomaji ulikuwa wa wananchi na wafuasi wa cuf wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
umishamzikaWewe acha hiyo kabisa
Hata ktk Biblia Mungu alimwibua Nabii mpya kupambana na tawala za kikandamizi.CCM kila wanapofikiri wamemaliza anaibuka mpinzani mpya,kwa,matendo yao wamezalisha mpinzani mpya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Jaji ni ajabu kuliko majaji wote tz. Matamko anayoyatoa ni ya ajabu sana cjui huwa anasukumwa na nini.
Sidhani kama wewe ni mzima kichwani naapa! au mna asili ya uendawazumu kwenu sio bure!Acha kufananisha uchizi na hekima wewe kijana mdogo
Jiongeze kidogo uangalie wapinzani wanavyo jali matumbo yao tu!
Upinzani wa nini? Watu kuwa vibaraka wa watu weupe ndio upinzani?
Upinzani wa kutuletea ushoga?
Wewe veeeepe
Thinking out of the boxHuyo jaji Mutungi yeye anadeal na vyama vya siasa tu. Ccm sio chama cha siasa bali ni taasisi ya kigaidi yenye mafungamano na vyombo vya kimamlaka kama mahakama, bunge, tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Ccm inapata nguvu zake kupitia mwenyekiti wake kwa kofia ya urais na udhaifu wa katiba kinaifanya ccm kuendelea kuwepo kwa mgongo wa chama cha siasa. Hivyo Mutungi hawezi kuigusa ccm kwani naye ni mmoja wa hao wanyonya damu wa ccm.
Je unahitaji kuwa na akili kuwa msajiri wa chochote?
Lissi?Amekosekana mwenye kauli na mwenye uthubutu kama Malcolm X.
Inabidi atokee mtu kama Malcolm ili aongee lugha ambayo CCM wanaielewa. Cha msingi kinuke, ndiyo lugha pekee iliyobaki.
CCM janga Mutungi ajitathmini
Dili lake na la profu kugawana ruzuku ya kuf limebuma wana hasira, wanadhalilisha taaluma zao
Moja, Mutungi amempatia Lipumba fedha za ruzuku wakati mahakama ilimzuia.Huyo Jaji ni ajabu kuliko majaji wote tz. Matamko anayoyatoa ni ya ajabu sana cjui huwa anasukumwa na nini.