Jackson Gomela uko wapi?

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
310
383
Popote ulipo au mtu yeyote unayemfahamu naomba unisaidie kumpata au kupata taarifa zake.

Miaka ya 1987/1988 ilikuwa ukifanya kazi shirika la posta na simu Urambo mjini. Ulihamishwa na kupeleka kituo kingine Cha kazi na ndiyo mwisho wa kupoteza mawasiliano Yako.

Kuna taarifa kwamba ulihamishiwa Dar es salaam posta.

Popote ulipo au mwenye taarifa Yako anitafute (pm) Kwa kuwa Kuna jambo muhimu sana juu Yako.
 
Back
Top Bottom