imeisha hiyo mkuu
Kijana wake ndo mimi, kwanini unaisema mitandaoni familia yetu??Hii gari ni bei gani? Maana kule mtaani kwetu anayo mtu maarufu, na ni Engineer pia.
Basi kijana wake ndo anageuza ya kufanyia miselee town.
Bei gani?Uzuri wa hii ndiga
Towntrip na kazini vyote 100 100
Kabisa mkuu, gari zinabadilika kila leo, ila hizi gari kidogo mabadiliko yake sio makubwa ya kuibadili kimuundo kama zilivyo HarrierUnajua wakati nakua mkubwa nilikuwa natamani chesa mayai
Mara zikaja korola
Mara zikaja takataka kibao
Mi nachojua mimi nikizipata gari itakayokuwa kwenye fomu ndo nanunua