Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,416
- 80,693
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.
Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.
Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .
Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini kuwaonya, kuwakemea viongozi wa kisiasa/Serikali dhidi ya mienendo Yao ilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.
Viongozi wa dini, msirudi nyuma, wimbo wenu wa haki sasa unaanza kuwaingia CCM.