Iwe marufuku kwa Makanisa kuwaruhusu watu aina ya Paul Makonda, kutumia Madhabahu kuelezea Siasa na CCM!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
26,415
80,685
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.

Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.

Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .

Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini kuwaonya, kuwakemea viongozi wa kisiasa/Serikali dhidi ya mienendo Yao ilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.

Viongozi wa dini, msirudi nyuma, wimbo wenu wa haki sasa unaanza kuwaingia CCM.
 
Kiongozi wa Dini unapoalikwa kwenye Shughuli za watu wa aina hii, hata kama unapewa Milion 10, Linda Heshima na hadhi yako ya UKAMILIFU ulopewa na Mungu.
 
Kumuunga Mkono Shughuli za Mwanasiasa au Kiongozi wa aina hiii, ni kuunga Dhuluma zake.

Sasa ni kweli, Yale anayoyafanya Huwa ni maigizo ila Makonda Halisi ni yule alovamia Clouds TV na mitutu ya Bunduki.
 
Kama kova kawa kiongozi wa BAKWATA
IMG_1220.jpeg
 
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.

Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.

Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .

Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini kuwaonya, kuwakemea viongozi wa kisiasa/Serikali dhidi ya mienendo Yao ilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.

VIONGOZI WA DINI, MSIRUDI NYUMA, WIMBO WENU WA HAKI SASA UNAANZA KUWAINGIA CCM.
Paul Makonda a.k.a DAUDI ALBERT BASHITE ni mumiani na fisadi mkubwa
 
Huyu MTU alipokua anawindwa muda mfupi baada ya Hayati JPM, alishinda akilala Kwa Viongozi wa Kidini ,akilia mpaka makamasi yakiwa yanamtoka.
 
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.

Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.

Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .

Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini kuwaonya, kuwakemea viongozi wa kisiasa/Serikali dhidi ya mienendo Yao ilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.

Viongozi wa dini, msirudi nyuma, wimbo wenu wa haki sasa unaanza kuwaingia CCM.
Jitu limetapakaa damu eti linajifanya li takatifu. Wimbo wa haki uendelee.
 
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.

Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.

Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .

Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini kuwaonya, kuwakemea viongozi wa kisiasa/Serikali dhidi ya mienendo Yao ilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.

Viongozi wa dini, msirudi nyuma, wimbo wenu wa haki sasa unaanza kuwaingia CCM.
Kakusanya makanisa fake kawajaza anapanda jukwaani kuongelea siasa. Anakataza siasa tena kwenye majukwaa ya makanisa😅😅
 
Watu wa aina hii hawapaswi hata kualikwa kua wageni rasimi.

Dini iaachane na unafiki wa kuchangiwa Pesa na viongozi wenye Dhuluma.

Biblía ninayoisoma toka nikiwa mtoto Mdogo, inachukia DHULUMA, UONEVU, WIZI NA WATAWALA WABAYA .

Biblía hii hiii, sehem kubwa, Mungu anatumia Viongozi wa Dini kuwaonya, kuwakemea viongozi wa kisiasa/Serikali dhidi ya mienendo Yao ilivyo kinyume na mapenzi ya Mungu.

Viongozi wa dini, msirudi nyuma, wimbo wenu wa haki sasa unaanza kuwaingia CCM.
Mbn ni hv punde umetoka kusifu viongozi wa dini? We umechanganyikiwa. Yule banyamulenge wenu anahubirigi nini
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom