hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
Nimekua nikijiuliza sana kila naposikia kauli za watendaji na viongozi wetu.
Utasikia mama katuletea hela kwaajili ya mradi huu.
Nabaki na maswali nijuavyo Serikali hujiendesha kwa kodi za wananchi, grants lakini pia magawio kutoka mashirika yake lakini pia mikopo ambayo hulipwa badaye na wananchi kwa njia mbalimbali.
Serikali inakusanya kodi
Serikali inafanya makadirio ya bajeti yake.
Makadirio hayo yanapelekwa bungeni na kupitishwa kuwa budget. Sasa kimsingi bunge ndo hupitisha mgawanyo wa fedha.
Sasa huu uchawa wa mama katupatia pesa, mama kafanya natuaminisha kuwa nyie hamfanyi kazi.
Na kodi zetu tunazolipa mutuambie zinaenda wapi?