ITV Wamembania rais wa TLS wamerusha habari kwa sekunde 15 tu

Leo ITV wamenishangaza sana.Habari ya Tundu lissu kuchaguliwa rais wa TLS wameifanya habari kuu.
Lakini cha kushangaza wameipa muda wa sekunde 15 tu."Kama zile za IG"Pili lissu katoa hotuba ya kingereza baada ya kuchaguliwa.Lakini ITV hawajatafsiri kama ilivyo kawaida yao.Pia hawajachukua maoni ya mawakili juu ya lisu kuchaguliwa kuongoza TLS na wameifanya habari ya mwisho kabisa.
Hii inadhiitisha vyombo vya habari vipo gizani.Na kwa mtindo huu safari bado ndefu sana.
ITV wakiendelea na figisu hizi za kuwafurahisha lumumba views watapotea kama walivyopotea star tv wajitathimini upya.
Nikkei nimekuona nadhani dikteta anabana kila kona
 
Ni tumbo tu
 
Mi sioni tatizo hata wangerusha sekunde kumi lazima kuelewa awamu hii inawabana vituo mbali mbali vya TV, so sioni tatizo maana mitandao siku hizi ina play part kubwa kuliko hata Tv
 
Miaka ya nyuma, kwa mfano mwaka jana na mwaka juzi, walirusha hizo habari za uchaguzi kwa muda gani?

Kama hata walirusha...
[B]Nyani Ngabu[/B], una matatizo makubwa na kwa namna fulani unaanza kuwa kama anayejiita [B]Barbarosa[/B], hizo chaguzi za nyuma zilikuwa na msisimuko upi? Watanzania wengi hata hawakujua kuna kitu kinaitwa TLS na ndio maana hata mkulu mwenyewe alidhani inaitwa Tanzania Law Society...shame on him. Safari hii uchaguzi huo umekuwa gumzo kitaifa na hata vilaza wengi wamejua kwa mara ya kwanza kwamba TLS ni Tanganyika Law Society na lini kilianzishwa. Ungesikiliza hotuba ya mwenyekiti mpya wakati akiomba kura ungejua kwa nini safari hii mambo yamekuwa mambo hadi siasa imepenyezwa na kuhusishwa na chama cha wataalamu.
 
Haaaa mnashangaa asahv toka ameingia mznza wanachuja sana hbr naona mnakumbuka klichomkuta mengi pale lumumba cku alivyotangzwa mshnd mznza?
Wanataka mwenzao afungiwe biashara zake hasa awamu hii ilivo na chuki na double standards
 
[B]Nyani Ngabu[/B], una matatizo makubwa na kwa namna fulani unaanza kuwa kama anayejiita [B]Barbarosa[/B], hizo chaguzi za nyuma zilikuwa na msisimuko upi? Watanzania wengi hata hawakujua kuna kitu kinaitwa TLS na ndio maana hata mkulu mwenyewe alidhani inaitwa Tanzania Law Society...shame on him. Safari hii uchaguzi huo umekuwa gumzo kitaifa na hata vilaza wengi wamejua kwa mara ya kwanza kwamba TLS ni Tanganyika Law Society na lini kilianzishwa. Ungesikiliza hotuba ya mwenyekiti mpya wakati akiomba kura ungejua kwa nini safari hii mambo yamekuwa mambo hadi siasa imepenyezwa na kuhusishwa na chama cha wataalamu.

Tena nyani amesahau habari ilikuwa habari kuu leo kwa ITV
Hivi,Huyu mtu anajua maana ya habari kuu kweli.Watu kwa kujiotoa ufahamu bana.Ovyo kabisa!
 
Upinzani wa Tanzania hawana Akili na ni wote, kwao TLS na Uraisi wake ndiyo kitu muhimu kuliko vyote Duniani, hawajui kwamba sehemu kubwa ya Watanzania hata habari hawana!
Hawana akili wazazi wako na ndugu zako huko kijijini walio kosa elimu,kijiji kimekusomesha umegeuka zombi
 
Wewe ulitaka wapewe dk ngapi? Huyo ni rais wa chama kama vyama vya kijamii vya kufa na kuzikana tu!!
Hicho chama kimeabzishwa leo?? Sizitaki mbichi hizo na mzee wako Tola wa magogoni
 
Back
Top Bottom