Its Confirmed: Mourinho will be MAN UTD Manager

Kwa kweli maorinho ni chaguo sahihi kabsa,
Ukizingatia simeone haez toka atltico

Gud news , lets start winning big
 
View attachment 349729
Makocha ambao watangaliwa na kufuatiliwa kwa ukaribu sana msimu ujao katika EPL ni hawa wawili....naamini msimu ujao utakuwa msimu bora kutokea katika EPL
Hapa Klopp, kule Guardiola, pembeni Maurinho, juu Wenger, kati Renieri, upande wa kulia Pottechino, juu kidogo Koeman, alafu kwa huku Conte!! Aisee, ni shida!!
 
....Mourinho amekuwa akiitamani hiyo kazi kwa muda mrefu sana,sasa ole wake aharibu na hapo,sijui ataaminiwa na nani tena?!
 
Muda wa wenger kufanya maajabu, anawasubili 2 waje then awachangamkie, akisajili 2 mapengo yake basi hawataamini kitakachowatokea maana kwa ss kwenye hilo group la guadiora, mourhino, klop, wenger anachukuliwa km underdog
 
United watamteua Morinho kama gamble ya kupata attention ya media.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom