Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,330
- 38,485
Katiba imeleeza kila kitu.Wengi wanajibu kwa maoni yao tu na sio mwongozo [kama upo].
Spika ni mkubwa kiprotokali kuliko Waziri Mkuu.
Haya mambo ndiyo Mabeyo kayaelezea vizuri sana.
Katiba imeleeza kila kitu.Wengi wanajibu kwa maoni yao tu na sio mwongozo [kama upo].
Kosa la nyie wasomi sasa!So Spika anao uwezo wa Kumuamrisha Waziri Mkuu awapo Bungeni na kumuwajibisha Pia panapo Stahili..
Ila Waziri Mkuu hana Uwezo wa Kumuwajibisha Spika kwa namna yoyote ile..
Safi.Kosa la nyie wasomi sasa!
Mnazungumzia INAVYOPASWA KUWA kama ndiyo ILIVYO SASA.
Achana na nadharia mkuu, ingia field, tueleweshe kutokana na unachokiona field, uhalisia.
Kuhusu mihimili, kwa sisi 1990 kushuka chini, tulisoma uraia tangu darasa la 3, tumefundishwa hiyo nadharia.
Swali dogo, MWENEZI na WAZIRI MKUU, imekaaje? Kama uliyasikia yaliyotokea, basi ujue INAVYOPASWA KUWA na ILIVYO ni mbingu na ardhi hapa TZ.
Ndo maana kama nchi tunafeli. Jinsi ilivyo huko field;
- Demokrasia
- Haki za binadamu
- Weledi
- Siasa safi
- Haki, Amani na Utulivu
Vyote hivyo havifanyi kazi kwa watu walioko huko.
Mwenezi anafanya Kazi kwa Kutumia Katiba ya Chama na Anavaa Kofia ya Katibu Mkuu wa Chama..Kosa la nyie wasomi sasa!
Mnazungumzia INAVYOPASWA KUWA kama ndiyo ILIVYO SASA.
Achana na nadharia mkuu, ingia field, tueleweshe kutokana na unachokiona field, uhalisia.
Kuhusu mihimili, kwa sisi 1990 kushuka chini, tulisoma uraia tangu darasa la 3, tumefundishwa hiyo nadharia.
Swali dogo, MWENEZI na WAZIRI MKUU, imekaaje? Kama uliyasikia yaliyotokea, basi ujue INAVYOPASWA KUWA na ILIVYO ni mbingu na ardhi hapa TZ.
Ndo maana kama nchi tunafeli. Jinsi ilivyo huko field;
- Demokrasia
- Haki za binadamu
- Weledi
- Siasa safi
- Haki, Amani na Utulivu
Vyote hivyo havifanyi kazi kwa watu walioko huko.
Hapa mnakosea sana...Mwenezi anafanya Kazi kwa Kutumia Katiba ya Chama na Anavaa Kofia ya Katibu Mkuu wa Chama..
kwahyo Kama waziri Mkuu atakuwa Ni mwanachama wa chama chake bhasi Dhahiri ataweza kuamrishwa au kukumbushwa kutimiza Ilani ya Chama chake..
Viongozi wakuu wa CCM kwa mujibu wa Ibara ya 112 ya Katiba ya CCM
View attachment 2963180
Kwa kuwa Mwenezi anafanya kazi chini ya KM
View attachment 2963183
View attachment 2963184
So Mimi naona Kulingana na katiba zao Yuko sawa
Umemaliza Kila kitu mkuu, Kwa kuongezea tu, Rais ndio serikali na anapaswa kuwa bungeni, kutokana na kuwa na kazi nyingi, anawakilishwa bungeni na Waziri mkuu, hivyo waziri mkuu ni mwakilishi wa Rais Bungeni hivyo anakuwa ni mkubwa kuliko spika wa Bunge. Rais ana wasaidizi wanne ambao yupo karibu nao muda wote, haiwezi kupita siku hawajawasiliana ambao ni Makamu wa Rais, Waziri mkuu, Katibu mkuu kiongozi na Katibu mkuu ikuluJibu Ni simple Tu mkuu!
Waziri Mkuu Ni Mmoja wa Viongozi wakuu wa Serikali "Excutive" nahisi Yuko Rank ya Tatu baada ya Rais,Makamu anafata yeye..
Kwakuwa Rais Haingii mara kwa Mara Bungeni "Japo ni Mjumbe wa Bunge".. Basi Kiongozi anayebaki Bungeni Ambaye ni wa serkali ni Waziri Mkuu..
Kwahyo waziri Mkuu Ndio kiongozi Tena wa Shughuli za Serkali Bungeni...Ikiwemo Kujibu maswali na Kuwajibika kwa Serkali wawapo Bungeni....
Japo Kiongozi wa Bunge ni Spika..
Sasa Kiprotokali kama Shughuli Itafanyika Inahusu Bunge Bhasi Spika Huwa Ndiyo Kiongozi mkuu na atashughulika kwa 100%..
Kwa mfano Ikitkea Mbunge kapata shida au kafariki au kumbukizi ya Mbunge Bhasi moja kwa moja utamwona Spika akiwa kiongozi..
Ila ikitokea Maafa au Chochote kinachohusu Serikali bhasi Waziri Mkuu ndyo kiongozi na Mwezeshaji wa shughuli hizo..
Sijui kama umenielewa?
Yesu ndio amtajie hiyo itifaki auMTAFUTE SANA YESU ATAKUWEKA HURU View attachment 2963097
Umejichimbia chini tena zaidAnyway, kuna mtu aliuliza akaambiwa, kuna mhimili "umejichimbia zaidi".
Mkimaliza kubishana karibu homeHivi wewe ukishajuwa ni nani mkubwa hapo kiitifaki inakusaidia nini?
Hivi hizo shule mnaenda kusomea ujinga?
Ukijua inaongeza kipato chako kwa asilimia ngapi?, wake up guyNimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.
Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
Bado ninataka kujua katika kuondoka kwenye shuhuli au matukio yakiserikali mfano kuzima mwenge,sherehe za uhuru nk je ninani anaanza katiya waziri mkuu na spika?Jibu Ni simple Tu mkuu!
Waziri Mkuu Ni Mmoja wa Viongozi wakuu wa Serikali "Excutive" nahisi Yuko Rank ya Tatu baada ya Rais,Makamu anafata yeye..
Kwakuwa Rais Haingii mara kwa Mara Bungeni "Japo ni Mjumbe wa Bunge".. Basi Kiongozi anayebaki Bungeni Ambaye ni wa serkali ni Waziri Mkuu..
Kwahyo waziri Mkuu Ndio kiongozi Tena wa Shughuli za Serkali Bungeni...Ikiwemo Kujibu maswali na Kuwajibika kwa Serkali wawapo Bungeni....
Japo Kiongozi wa Bunge ni Spika..
Sasa Kiprotokali kama Shughuli Itafanyika Inahusu Bunge Bhasi Spika Huwa Ndiyo Kiongozi mkuu na atashughulika kwa 100%..
Kwa mfano Ikitkea Mbunge kapata shida au kafariki au kumbukizi ya Mbunge Bhasi moja kwa moja utamwona Spika akiwa kiongozi..
Ila ikitokea Maafa au Chochote kinachohusu Serikali bhasi Waziri Mkuu ndyo kiongozi na Mwezeshaji wa shughuli hizo..
Sijui kama umenielewa?
Wengine hawawazii vipato tena mkuu. Na wengine siasa ndio kazi zaoUkijua inaongeza kipato chako kwa asilimia ngapi?, wake up guy
Mkuu CCM ni Chama kinachotawala..Hapa mnakosea sana...
Waziri Mkuu anatajwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania, Katibu Mwenezi ni wa chama cha Siasa.
Sema CCM wanapenda kufanya mazingaombwe kuonesha kuwa chama chao ni kikubwa kuliko serikali.
Kuongeza, spika na bunge lake waweza kumuondoa Rais madarakani.Hapana Mzee spika na Waziri Mkuu ni vitu Viwili tofauti kabisa..
Tukizungumzia Ukuu kwenye Muhimili Bhasi mimi ningelinganisha Spika na Rais na Jaji Mkuu...
Hii Mihimili Hutegemeana na Hufanya kazi pamoja kwa ukaribu kabisa..
Na ndo maana Bungeni kuna mwakilishi wa Muhimili wa Mahakama ambaye ni Mwanasheria Mkuu na mwakilishi wa Serkali ambaye ni Waziri Mkuu...
Serkalini Kuna waziri Mkuu...
So Spika anao uwezo wa Kumuamrisha Waziri Mkuu awapo Bungeni na kumuwajibisha Pia panapo Stahili..
Ila Waziri Mkuu hana Uwezo wa Kumuwajibisha Spika kwa namna yoyote ile..