ITIFAKI: Ni nani Mkubwa kati ya Waziri Mkuu na Spika wa Bunge?

Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.

Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
Hayo mambo ya kipuuzi unauliza hujui Likatiba letu limechoka

Hebu nguvu ielekezwe kudai katiba mpya
 
Linapokuja swala la mamlaka waziri anatamba nchi nzima.

Linapokuja swala la muhimili unaotafutia hela.mihimili mingine waziri anatamba over mihimili mingine.

Linapokuja swala la nani anaweza kukalia kiti cha uraisi kabla ya mwenzake endapo raisi atakoma kukalia kiti kwa sababu mbalinbali SPEAKER atamtangulia waziri mkuu.

..............
 
Nimekuwa nikitatizwa ktk tifaki za serikali ya JMT. Waziri Mkuu amekuwa akimtangulia Spika wa Bunge ambaye ni kiongozi wa Muhimili. Waziri Mkuu ni kingozi wa shughuli za serikali Bungeni. Mkubwa wake ni Spika wa Bunge.

Nimeona ktk Msiba ya Lowassa na Kumbikizi ya Miaka 40 ya kifo cha Sokoine.
Jibu Ni simple Tu mkuu!
Waziri Mkuu Ni Mmoja wa Viongozi wakuu wa Serikali "Excutive" nahisi Yuko Rank ya Tatu baada ya Rais,Makamu anafata yeye..

Kwakuwa Rais Haingii mara kwa Mara Bungeni "Japo ni Mjumbe wa Bunge".. Basi Kiongozi anayebaki Bungeni Ambaye ni wa serkali ni Waziri Mkuu..

Kwahyo waziri Mkuu Ndio kiongozi Tena wa Shughuli za Serkali Bungeni...Ikiwemo Kujibu maswali na Kuwajibika kwa Serkali wawapo Bungeni....

Japo Kiongozi wa Bunge ni Spika..

Sasa Kiprotokali kama Shughuli Itafanyika Inahusu Bunge Bhasi Spika Huwa Ndiyo Kiongozi mkuu na atashughulika kwa 100%..

Kwa mfano Ikitkea Mbunge kapata shida au kafariki au kumbukizi ya Mbunge Bhasi moja kwa moja utamwona Spika akiwa kiongozi..

Ila ikitokea Maafa au Chochote kinachohusu Serikali bhasi Waziri Mkuu ndyo kiongozi na Mwezeshaji wa shughuli hizo..

Sijui kama umenielewa?
 
Ukubwa wa Spika ni ndani ya lile jengo pale dodoma.

akitoa miguu yake tu pale huku Nnje eneo lote la Nchi ni la WAZIRI MKUU.

WAZIRI MKUU sio mwenzako ni cheo kikubwa sana hicho sio cha kawaida.

Kina Mamlaka makubwa kuliko SPIKA.
 
Back
Top Bottom