Mbona akiambiwa "hakuna watumishi hewa" anafukuza watu kazi?!!!mkuu mwenye kosa sio Rais, ni wasaidizi wake ambao hawampi rais taarifa sahihi. Rais ni rmtaasisi..
Sasa sema michango yetu mmepeleka wapi?Tatizo unaishi kijijini, mjini na simaanishi Dar, mjini hata Bukoba na viunga vyake haujengi nyumba bora kwa milioni 8, njoo mjini ujue mambo! Mjini sio Dar tu hata hapo maeneo ya Kaitaba utapata kitu cha kuongeza kwenye akili yako.
Ulitoa mchango wewe?? Shughuli zinazofanyika sasa na pia alichosema jana rais kuwa itajengwa shule ya kisasa kufidia hiyo iliyobomolewa unadhani wameprint noti zingine?? Ni michango na fungu la bajeti ya maafa.Sasa sema machango yetu mmepeleka wapi?
Serikali inapaswa kutumia kutoka kwenye bajeti yake ya maafa kujenga hiyo miundombinu.
Wahanga hawajaomba hela za serikali zitumike bali ni zile hela za wasamaria wema zilizopokelewa na serikali, kumbuka pia uchangishaji binafsi ulizuiliwa.Nchi ipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi haiwezi fanya jambo kama hilo.
Waliochanga mliwapa stika wakabandika usoni?Ulitoa mchango wewe?? Shughuli zinazofanyika sasa na pia alichosema jana rais kuwa itajengwa shule ya kisasa kufidia hiyo iliyobomolewa unadhani wameprint noti zingine?? Ni michango na fungu la bajeti ya maafa.
Wewe umeongea cha maana, MIUNDO MBINU!!
Pia ingekuwa tetemeko limeharibi nyumba ambazo ni za NHC hapo serikali ingewajibika.
pamoja na hayo lakini hatuendeshi nchi kwa namna hiyo, nchi ni wananchi, wanalipa kodi kwa ajili yao,1. Serikali inajenga upya nyumba "zake" zilizobomoka kutokana na tetetemeko. Tofauti kubwa iliyopo nchini kwetu na kwingineko ni kwamba hapa kwetu watu wengi wanamiliki nyumba binafsi wakati kwa wenzetu hali ni tofauti Tena kubwa. ni wachache mno Tena mno wanaomiliki nyumba binafsi.
2. BIMA: hapa kwetu hatuna kabisa (IPO kwa asilimia ndogo sana matumizi ya bima ya nyumba n.k) Kiasi kwamba tatizo linapotokea imekula kwako... Hali ni tofauti pia kwa wenzetu. Hapa kwetu BIMA YA LAZIMA ni VYOMBO VYA USAFIRI VYA MOTO, bima za nyumba na kadhalika si lazima kwa mujibu wa sheria. Mwenzako anapojengewa nyumba kwa kukata kwake bima si kwamba ni sawa na kwetu
TUNAPOCHANGIA MIJADALA HII, TUWE NA UELEWA MPANA UNAOHUSIANA NA UMILIKAJI WA NYUMBA NA HALI YA BIMA
Kwani Pesa zimetoka Serikalini?Nchi ipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi haiwezi fanya jambo kama hilo.
Unamaanisha nn mkuu...???Chacha buanaa.
kweli mkuu,serikali hata kama haiwezi kujenga nyumba ila inauwezo wa kutoa msamaha wa kodi kwa vifaa vya ujenzi kwa waathirika,wana waregister kila mmoja na mahitaji yake then anateuliwa mfanyabiashara mmoja anawauzia hivyo vifaa bila ya kodi,kiongoz mzuri ni yule anae jali maisha ya wananch wakeNyumba mbovu ni 2000........
bilioni 16,000,000,000/2000= 8,000,000
Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kupata vifaa vya nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........
Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........