Nimesikia serikali ikitoa mfano kuwa hata Italia serikali haikuqajengea wananchi makazi yao. Lakini kauli hiyo si kweli kwani serikali ya Italia imesema itajenga kila kitu upya katika eneo lililopatwa na tetemeko.
Italian prime minister promises to rebuild after powerful quake
Nyumba ya shilingi milioni nane inajengwaje mjini? Mnapenda sana kurahisisha mambo.Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000
Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........
Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
Ya msaada, kwa mkoani ! YES ila kama unataka luxurious jenga mwenyeweNyumba ya shilingi milioni nane inajengwaje mjini? Mnapenda sana kurahisisha mambo.
Nchi ipo kwenye hali mbaya ya kiuchumi haiwezi fanya jambo kama hilo.
Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000
Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........
Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
Na endapo wananchi wangejua serikali itawafanyia hivyo wasingechanga hata sent moja.Nyumba bilion 16,000,000,000/2000= 8,000,000
Hii pesa ingetosha kwa kila kaya kujengewa nyumba angalau ndogo wakati wakijipanga........
Swala la kuhoji kwanini serikali ichangiwe pesa na wananchi ya kujenga miundombinu wakati wananchi waliochangiwa wanalala nje?.........
Jema lipi?umeona kauli ya mtukufu inavyokinzana na uhalisia wa kuwajengea waathirika italy?acha kupinga serikali wewe...serikali kila inalofanya ni jema...Ninyi CHADEMA mmezoea kupinga kila kitu
Michango ya maafa bukoba ilitolewa kwa lengo la kuwasaidia wananchi si kwa ajili ya mengine ambayo ni jukumu la serikali na wanapingana na matumizi ya hizo pesa si wanachama wa chadema bali ni watanzania wote bila kujali itikadi.acha kupinga serikali wewe...serikali kila inalofanya ni jema...Ninyi CHADEMA mmezoea kupinga kila kitu