Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,554
- 119,862
Yaani Waingereza wanakila sababu ya kujivunia. Kanchi kadogo lakini kameitawala dunia nzima (both literally and in other ways). Hivi hii inakuwakuwaje? Ktk dunia ya leo lugha unayohitaji kujua ni Kiingereza tu na utapeta popote pale kuanzia Tirana, Albania hadi Kathmandu....kubabake walahi Waingereza.