Israel wasambaratisha msikiti wa kale

Wanawake, watoto, na wazee zaidi ya 17,000 wasio na hatia ndiyo wanaouwawa kila siku na hao ndugu zenu Mayahudi. Watoto wa mama Mayahudi hawawezi kupambana uso kwa uso na Al Qassam Brigade na kushinda.

Na ndiyo maana kila siku wanakimbilia kudondosha tu makombora na kuharibu majengo. Kama kweli wanajiamini, wawafuate wababe wao kwenye mahandaki.

Unapigana vipi na magaidi yanayofanya mashambulizi huku yamejificha kwenye hoapitali na misikiti,kisha yanakimbilia kwenyw mahandaki?
 
Back
Top Bottom