Israel wasambaratisha msikiti wa kale

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,244
50,433
Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia...

Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X)

New footage shows the massive extent of damage to the historic al-Omari Mosque in Gaza City.
Palestinian media says the mosque has been hit repeatedly by Israeli fire.
The IDF has not commented on such allegations.
 
msikiti una kosa gani?
 
Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbirii

Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.

Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.

Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti 😄
 
Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij

Yaani hamtaachwa na chochote, mazombi yenu yakirudi yanapaswa yakute shamba...
 
Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij

Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.

Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.

Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti

Bado hamjasema,alla ni mungu mfu.
 
Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij

Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.

Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.

Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti 😄
Kweli Israel lazima atakimbia Gaza, hamas ni hatari sana.
 
Ilikua kosa kubwa sana kuua Wayahudi, jamaa wameamua hamna kinachosalia...

Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X)
Damage to al-Omari Mosque in Gaza City from Israel-Hamas war, on December 8, 2023. (Screen capture/X)
New footage shows the massive extent of damage to the historic al-Omari Mosque in Gaza City.
Palestinian media says the mosque has been hit repeatedly by Israeli fire.
The IDF has not commented on such allegations.
Kuna muda natamani hiko kipande cha Israel na Palestine kizame na kipotea kwenye ramani ya dunia ilituishi kwa amani.
 
Ukiona wanafikia mpaa kuvunja Misikiti basi ujuwe wazi kuna habari mbaya sana kuhusu wao na habari ni hi jana usiku Allah Akbarii ..takibiriiii..takbiriij

Kilichotokea katika kambi ya Jabalia usiku wa leo ni zaidi ya mawazo katika sayansi ya kijeshi na zaidi ya hapo.

Ukitazama vipande vya video vitakavyokufanya uishi kwa mshangao kwa akili na ujanja wa Kikosi cha Al-Qassam, ambacho kilifanikiwa kuyapita majeshi na utaalamu wa nchi za Magharibi.

Israel lazima atakimbia Gaza hana hila, ndio unaona hasira zake zimeishia mpaa kuvunja musikiti 😄
Tayari mateka wamejulikana walipo, jana walijaribu kuwaokoa wakapata upinzani mkali sana,idf wawili walijeruhiwa, magaidi wawili waliuwa. Idf inajipanga upya. Ni swala la muda tu.
 
Kuna muda natamani hiko kipande cha Israel na Palestine kizame na kipotea kwenye ramani ya dunia ilituishi kwa amani.

Haitasimamisha vita na chuki duniani maana maandiko yanayotumika kuibua hizi chuki bado yapo tu, tumeshuhudia mauaji yake hata mbali sana na Paletine

“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Back
Top Bottom