Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,069
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile anavyoweza ili kulijibu hilo swali.
Mods naomba huu uzi usiunganishwe na nyuzi zingine kwa maana hazifanani hata kidogo.
Ikiwa inakaribia kutimia miaka miwili tangu mgogoro Urusi na Ukraine uanze tumeshuhudia mengi sana katika huu mgogoro lakini kubwa ni kuona Urusi bado anaendelea kupambana kutimiza malengo yake ya military operation aliyoianzisha. Kwa wale pro Nato wamesema mengi sana ambayo siwezi kuandika hapa lakini kubwa kuliko yote ni Udhaifu wa Rusia katika operation hiyo.
Russia anapambana na nchi kubwa sana ulaya ambayo ina silaha nzito alizorithi kutoka Soviet lakini pia back up kubwa anayopewa kutoka nchi za Ulaya na Marekani.
Lakini Urusi bado anaendelea kupambana licha ya vikwazo alivyowekewa.
Kwa upande mwingine pale middle east kumezuka vita nyingine baina ya Israel na Hamas (from Gaza) ambayo inakaribia kutimia miezi 3 sasa tangu ianze, ikumbukwe Israel ilitangaza vita dhidi ya Hamas na sio oparesheni kama kule Urusi hivyo Israel aliingia na nguvu zake zote.
Wengi wetu tuliamini kwa uwezo wa IDF na uwezo wa MOSSAD kwa upande wa intelijensia tulitegemea Israel angemalizana na Hamas ndani ya siku 4 lakini naona imekuwa tofauti.Israel imekuwa inasifiwa sana hapa jukwaani kwa ubora wake katika mbinu na silaha alizokuwa nazo za kisasa.
Tumeona Israel ikingiza Air force yake Gaza na kutoka kadri anavyotaka, Swali kujiuliza Hamas wangekuwa na Ulinzi wa anga kama alivyo Ukraine angeweza kuingia na kutoka?
Maswali ni mengi. Lakini swali la msingi linabaki kuwa. Kama Israel angeingia vitani na Ukraine angeweza kutoboa kwa kuzingatia performance anayoionyesha pale Gaza(Kaeneo kadogo kama wilaya ya kigamboni).
Karibuni kwa majadiliano